Kwangu Anthony Mtaka ni smartest. Ila Dar inahitaji zaidi ya hapo, vocal, comm skills na convincing power ya nguvu inahitajika mji huu.
 
Sasa mambo ya kariakoo yanahusiana zaidi na mambo ya kikodi(TRA) hapo mkuu wa mkoa anafanyaje?wao wana kwambia hizo ni siasa tu sisi tunafanya kazi kwa mujibu wa sheria,na waziri anawasifia kwa wanachofanya hapo RC unafanya nini?
Waziri mkuu kasababisha makala kuhamishwa baada ya kuonekana makala ameshindwa kutatua Kero za wanabusiness. Ila waziri mkuu hakutumia hekima kuwaponda wafanyakazi wa TRA Kwa kusikiliza pande mmoja.

Ila makala unaonekana wafanyabishara naye anahisa huko.. ni mfanyabiashara haswaaa... Kusajili stoo kuna shida Gani? Wanaogopa Nini?

Asilimia kubwa ya wafanyabishara wana stoo kubwa ambazo zina mizigo ambayo hailipiwi Kodi kabsa..afisa wa tra anaenda kukadiria Kodi Kwa kuangalia Duka hilo sio sawa.. hawa watu wanafanya biashara kubwa sana kupitia stoo zao. That why hawako tayar zikaguliwee
 
Chalamila pia ni Lecturer na amefanya hiyo kazi muda,kabla hajaingia sasa kwenye siasa.

Siyo kilaza.
 
Kuna namna Makalla alijitahidi sana ila Kuna mahali alikuwa anapwaya....Dar Inahitaji Mkuu wa mkoa mwenye bidii sana mbwembwe mingi awe sharp na smart kichwani sisemi Makalla hakuwa na vyote ila Kuna namna Chumvi haikukolea kwenye Chakula......
Jamaa amepoa mno yaani
Sijui ndio upole umezidi.

Ngoja aje Chalamila na amsha amsha zake.
 
Chalamila pia ni Lecturer na amefanya hiyo kazi muda,kabla hajaingia sasa kwenye siasa.

Siyo kilaza.
You mean β€˜Makalla’

Kama alikuwa lecturer halafu ameshindwa kuwapatanisha TRA na wafanyabiashara yeye mwenyewe ndio kabisa hafai.
 
Je!
Wana Mwanza ndio mahali pa kupeleka walioshindwa majukumu yao?

Kwani lazima mtu aendelee kuwa mkuu wa mkoa hata kama ana feli.

Ni lini CCM na mwenyekiti wake mtaacha kulindana huku mkiwagharimu watanzania jasho na damu?
 
Je!
Wana Mwanza ndio mahali pa kupeleka walioshindwa majukumu yao?

Kwani lazima mtu aendelee kuwa mkuu wa mkoa hata kama ana feli.

Ni lini CCM na mwenyekiti wake mtaacha kulindana huku mkiwagharimu watanzania jasho na damu?
... mkiambiwa inahitajika Katiba yenye nguvu sio tu kurudisha nguvu kwa wananchi lakini pia ku-regulate madaraka ya watawala hua mnajitoa ufahamu kuelewa; hiyo ndio maana yake! Kwa Katiba hii siku likizuka dikteta la ukweli ndio mtajua hamjui and will be too late.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…