[emoji38]
 
Wauweke wazi huo mkataba wa miaka 30 tuuone na vifungu vyake tujirizishe kama una maslai kwa watz bila hivyo tutazidai bandari zetu
 
Msijikoshe, mmepigwa katafunua
 
Kama hoja gani wakati wao walitaka DP World asiwepo kabisa Kwa maelezo kwamba tuendeleaa kujenga uwezo wa ndani?
 
Baada ya Waraka kubuma Sasa mnaanza kujitongozesha kwa Serikali.
 
Kwahiyo mkataba unaenda kinyume na IGA sivyo? Hebu uwekebi tuone kama ni kweli unaenda kinyume na IGA
 
Sisi watoto wa mnyazi mungu hatu kubali hi hoja
 
Siyo kweli. Hayo umeyatengeneza wewe.

Sala ya Askofu wa TEC inaeleza mengi. Askofu Liberatus Sangu wa TEC, katika sala yake fupi, tofauti na shekhe Mkuu, yeye hakuombea chochote kuhusiana na huo mkataba wala utiani saini, badala yake amewaombea viongozi wa Serikali wapate hekima, busara na uzalendo. Kisha aliwaombea waliopoteza maisha na kujeruhiwa huko Nzega.
 
Japo mrisho mpoto alijaribu kuchafua press ya watu kwa usaanii duni wa uchochezi japo kuna uelekeo wa ukweli.

Eti anasema wale wa mwanzo kabisa kukupinga kwa nguvu zote kuhusu mkataba huu leo hii nao wapo hapa kushuhudia mkataba huu ukisainiwa 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…