Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa alafu mnanegotiate nae nini?
Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?
Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?
Awamu ya jakaya ndio kipindi tuliibiwa?
π
Dk Biteko afunguka rubi ya utata Dubai
Wakati kukiwa na utata kuhusu jiwe la madini ya rubi linalotarajia kuingia sokoni nchini Dubai, Waziri wa Madini Dk Dotto Biteko amesema ukweli unataka kufichwa kuhusu jiwe hilo.www.mwananchi.co.tz
Sasa mbona upo nje ya mada?Hakuna kipindi nchi hii kumefanyika wizi kama kipindi cha dhalimu, ilifikia mahali mpaka CAG hawapewi nafasi ya kukagua taarifa za fedha za miradi. Tunamshukuru Mungu kwa ufundi wake wa 17 march.
Kilaza .kinawaza kutema nyongo bila factsSasa mbona upo nje ya mada?
Tuuzungumze na unaotokea ndani ya Kuta za mererani piaMtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa alafu mnanegotiate nae nini?
Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?
Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?
Awamu ya jakaya ndio kipindi tuliibiwa?
π
Dk Biteko afunguka rubi ya utata Dubai
Wakati kukiwa na utata kuhusu jiwe la madini ya rubi linalotarajia kuingia sokoni nchini Dubai, Waziri wa Madini Dk Dotto Biteko amesema ukweli unataka kufichwa kuhusu jiwe hilo.www.mwananchi.co.tz
Na bahati mbaya vipofu wamesalia hawana mwonozajiHakuna kipindi nchi hii kumefanyika wizi kama kipindi cha dhalimu, ilifikia mahali mpaka CAG hawapewi nafasi ya kukagua taarifa za fedha za miradi. Tunamshukuru Mungu kwa ufundi wake wa 17 march.
Mbona mapato ya hizo rasilimali yanaongezeka ilhali unasema zinatoroshwa?Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa alafu mnanegotiate nae nini?
Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?
Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?
Awamu ya jakaya ndio kipindi tuliibiwa?
π
Dk Biteko afunguka rubi ya utata Dubai
Wakati kukiwa na utata kuhusu jiwe la madini ya rubi linalotarajia kuingia sokoni nchini Dubai, Waziri wa Madini Dk Dotto Biteko amesema ukweli unataka kufichwa kuhusu jiwe hilo.www.mwananchi.co.tz
Tuache ujuaji.... hayo mawe hayapo Tarime.Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?
Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa alafu mnanegotiate nae nini?
Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?
Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?
Awamu ya jakaya ndio kipindi tuliibiwa?
π
Dk Biteko afunguka rubi ya utata Dubai
Wakati kukiwa na utata kuhusu jiwe la madini ya rubi linalotarajia kuingia sokoni nchini Dubai, Waziri wa Madini Dk Dotto Biteko amesema ukweli unataka kufichwa kuhusu jiwe hilo.www.mwananchi.co.tz
Awamu ya Mmagufuli ndio ya ufisadi mkubwa kabisa,na kampuni zake za kifisadi,Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa alafu mnanegotiate nae nini?
Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?
Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?
Awamu ya jakaya ndio kipindi tuliibiwa?
π
Dk Biteko afunguka rubi ya utata Dubai
Wakati kukiwa na utata kuhusu jiwe la madini ya rubi linalotarajia kuingia sokoni nchini Dubai, Waziri wa Madini Dk Dotto Biteko amesema ukweli unataka kufichwa kuhusu jiwe hilo.www.mwananchi.co.tz
Hayo mawe yote yanadaiwa kuibiwa kipindi cha miaka 11 iliyopita.Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa alafu mnanegotiate nae nini?
Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?
Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?
Awamu ya jakaya ndio kipindi tuliibiwa?
[emoji116]
Dk Biteko afunguka rubi ya utata Dubai
Wakati kukiwa na utata kuhusu jiwe la madini ya rubi linalotarajia kuingia sokoni nchini Dubai, Waziri wa Madini Dk Dotto Biteko amesema ukweli unataka kufichwa kuhusu jiwe hilo.www.mwananchi.co.tz
Wewe kenge kwa taarifa ni kwamba mtoroshaji rasmi wa mawe hayo amekiri kuwa yako zaidi ya mawe 28 na yote yalitoroshwa kipindi cha miaka 11 iliyopita.Hakuna kipindi nchi hii kumefanyika wizi kama kipindi cha dhalimu, ilifikia mahali mpaka CAG hawapewi nafasi ya kukagua taarifa za fedha za miradi. Tunamshukuru Mungu kwa ufundi wake wa 17 march.
Hakuna kipindi nchi hii kumefanyika wizi kama kipindi cha dhalimu, ilifikia mahali mpaka CAG hawapewi nafasi ya kukagua taarifa za fedha za miradi. Tunamshukuru Mungu kwa ufundi wake wa 17 march.
Mueleweshe labda atakuelewaKwa hizi akili Tanzania bado tuna safari ndefu sana.