Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa halafu mnanegotiate nae nini?
Kwanini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?
Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?
Awamu ya Jakaya ndio kipindi tuliibiwa?
👇
www.mwananchi.co.tz
Kwanini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?
Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?
Awamu ya Jakaya ndio kipindi tuliibiwa?
👇
Dk Biteko afunguka rubi ya utata Dubai
Wakati kukiwa na utata kuhusu jiwe la madini ya rubi linalotarajia kuingia sokoni nchini Dubai, Waziri wa Madini Dk Dotto Biteko amesema ukweli unataka kufichwa kuhusu jiwe hilo.