Utoroshwaji wa rasilimali za taifa letu uliofanyika awamu ya nne umerejea kwa kasi awamu hii ya Rais Samia. Watanzania tutaibiwa sana wakati huu

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa halafu mnanegotiate nae nini?

Kwanini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?

Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?

Awamu ya Jakaya ndio kipindi tuliibiwa?

👇
 
Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa alafu mnanegotiate nae nini?

Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?

Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?

Awamu ya jakaya ndio kipindi tuliibiwa?

👇

Hakuna kipindi nchi hii kumefanyika wizi kama kipindi cha dhalimu, ilifikia mahali mpaka CAG hawapewi nafasi ya kukagua taarifa za fedha za miradi. Tunamshukuru Mungu kwa ufundi wake wa 17 march.
 
Kichwa Cha habari tofauti na maudhui. Dr Biteko kawaambia wabunge wasubiri taarifa kamili na nchi itajulishwa. Mleta mada umeruka na headline tofauti na maelezo ya Waziri. Hii inaitwa Mauzauza Woyeeeeee
 
Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa alafu mnanegotiate nae nini?

Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?

Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?

Awamu ya jakaya ndio kipindi tuliibiwa?

👇
Tuuzungumze na unaotokea ndani ya Kuta za mererani pia
 
Hakuna kipindi nchi hii kumefanyika wizi kama kipindi cha dhalimu, ilifikia mahali mpaka CAG hawapewi nafasi ya kukagua taarifa za fedha za miradi. Tunamshukuru Mungu kwa ufundi wake wa 17 march.
Na bahati mbaya vipofu wamesalia hawana mwonozaji
 
Hii Inchi itaendelea kama CCM ikitoka Madarakani. Tatizo hatuna chama Makini cha kuongoza Nchi.
 
Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa alafu mnanegotiate nae nini?

Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?

Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?

Awamu ya jakaya ndio kipindi tuliibiwa?

👇
Mbona mapato ya hizo rasilimali yanaongezeka ilhali unasema zinatoroshwa?

Utoroshaji wa walanguzi wa awamu ya 5 waliokuwa wakishirikiana na maofisa wa serikali umeumulika?

Mwisho wapi Waziri aliposema wametorosha? Yeye mwenyewe hana majibu,Rais akirudi amfukuze huyo Biteko.
 
Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa alafu mnanegotiate nae nini?

Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?

Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?

Awamu ya jakaya ndio kipindi tuliibiwa?

👇

Yalitoroshwa miaka 11 iliyopita!!
 
Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa alafu mnanegotiate nae nini?

Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?

Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?

Awamu ya jakaya ndio kipindi tuliibiwa?

👇
Awamu ya Mmagufuli ndio ya ufisadi mkubwa kabisa,na kampuni zake za kifisadi,
 
Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa alafu mnanegotiate nae nini?

Kwa nini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania?

Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi?

Awamu ya jakaya ndio kipindi tuliibiwa?

[emoji116]
Hayo mawe yote yanadaiwa kuibiwa kipindi cha miaka 11 iliyopita.

Je ilikuwa awamu ya nani?

Je hao si ndio hao hao mnawasifia kuupiga mwingi?

Nchi hii utadhani namba moja anatumika chini ya amri ya genge fulani lenye kumuogofya hata yeye?
 
Hakuna kipindi nchi hii kumefanyika wizi kama kipindi cha dhalimu, ilifikia mahali mpaka CAG hawapewi nafasi ya kukagua taarifa za fedha za miradi. Tunamshukuru Mungu kwa ufundi wake wa 17 march.
Wewe kenge kwa taarifa ni kwamba mtoroshaji rasmi wa mawe hayo amekiri kuwa yako zaidi ya mawe 28 na yote yalitoroshwa kipindi cha miaka 11 iliyopita.

Piga hesabu ni nani alikuwa rais wakati huo?

Mnakurupuka kuandika upupu bila kujiridhisha kwanza na vyanzo rasmi.
 
Back
Top Bottom