Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Kumbe tukikatwa tu napata utajiri mtumishiUlimwengu Wa Kiroho una Siri kubwa,
Na shetani huzitumia kutokana tumeacha kufata yaliyofichwa.
Madaraka na Utajiri yapo kwenye kidole gumba
Waamuzi 1:7 BHN
Adoni-bezeki akasema, “Wafalme sabini waliokatwa vidole gumba vya mikono na miguu waliokota makombo chini ya meza yangu. Sasa Mungu amenilipa kama nilivyotenda.” Wakampeleka Yerusalemu, akafia huko.
Walawi 14:28 BHND
Kuhani atampaka huyo mtu anayetakaswa mafuta katika ncha ya sikio lake la kulia, katika kidole gumba cha mkono wake wa kulia, na kidole gumba cha mguu wake wa kulia. Atampaka mahali pale ambapo alimpaka ile damu ya sadaka ya kuondoa hatia
Ni kweli mkuu njaa ishaanza kuleta daliliKwa hali ya mabadiliko ya tabia nchi, na bei ya MBOLEA na ukosefu wa mvua za kutosha na uhaba na ufinyu wa mavuno, wakija Bongo, theluthi nzima ya nchi itapanga foleni!
Chakula kutakuwa adimu Sana mwaka huu! Labda hiyo vuli ije mapema, na mvua zinyeshe za uhakika!
Acha tuDah!.. inasikitisha na kutisha...kisa milioni 16 tu ubaki na ulemavu wa kudumu ?
Huwezi tembea bila vidole mkuu acha tamaa ya fedhaUkiuza vidole 10 una 70,000 USD sawa na 163,030,000.00 Tanzanian Shillings[emoji205]
Hhahahaha haya watu ni wachawWana mabaya yao mengi kama binadamu wengine ila biashara ya vidole hapana
Hiyo ni ushirikina wao WaZim kwa njaa zao
Walishindwa kumdhibiti Mugabe kawatawala kama mazombie
Sana tuKuna Hatari Hapo Siyo Bure
Huku hali ya mauaji tumeshazoea imekuwa sehemu ya maisha yetuYetu hatujamaliza kuyajadili, mauaji yanaendelea kila kona ya nchi, kila kukicha tumevuka mipaka mpaka Zimbabwe
kwenye hiyo 163m ya vidole 10 unanunua wheelchair ni laki tatu tu..🤣🤣Huwezi tembea bila vidole mkuu acha tamaa ya fedha
Hhahahaha haya watu ni wachaw
[emoji38][emoji38][emoji38]Kidole tu dola elfu kumi?
Mimi kuna binti wa mtu nimempa moyo, na bado hajaridhika. Dunia haiko fair!
okayHiari yako
Kwamba serikali yao haioni mpaka uishauri? Usishangae ya Zimbabwe, si ajabu yakaja na Tz, maana upuuzi wowote ndio tunaoukimbilia.Uzi una picha.
Nimesikitika sana kitendo cha Waafrika wenzetu tuliowapambania kipindi cha kumtoa mkoloni Leo hii wanauza vidole vyao vya mguu kwa wazungu tena kwa bei nafuu ya USD 7000 mpaka 10000.
Dole gumba ni $7000
Kidole cha Kati cha mguu ni $9000
Nakidole kidogo cha mguu ni $10000.
Swali langu ni kuwa kwani hawa wazungu haya mavidole wanapeleka wapi? Kwanini wasiwakate huko kwao mpaka waje kwetu Afrika lakini. Au ndokulipiza hasira kwa alichowafanyia Mugabe Gabriel kuwapora Ardhi. Yani Kuna mambo Waafrika tunakuwa treated kama Mavi vile maana ukienda Dubai Dada zetu wanalishwa kinyesi ukija Africa tunakatwa vidole sasa sijui nini Kosa letu mpaka watufanyie hivi.
Yani kwa siku wazimbabwe zaidi ya buku tatu wanakatwa vidole vya mguu sasa hawa wazungu haya mavidole wanapeleka wapi. Serikali iingilie Kati maana Kuna watu watataka wauze vyote. View attachment 2248380View attachment 2248381