Uuzaji wa vidole vya miguu Zimbabwe

Uuzaji wa vidole vya miguu Zimbabwe

Ulimwengu Wa Kiroho una Siri kubwa,
Na shetani huzitumia kutokana tumeacha kufata yaliyofichwa.

Madaraka na Utajiri yapo kwenye kidole gumba

Waamuzi 1:7 BHN
Adoni-bezeki akasema, “Wafalme sabini waliokatwa vidole gumba vya mikono na miguu waliokota makombo chini ya meza yangu. Sasa Mungu amenilipa kama nilivyotenda.” Wakampeleka Yerusalemu, akafia huko.


Walawi 14:28 BHND
Kuhani atampaka huyo mtu anayetakaswa mafuta katika ncha ya sikio lake la kulia, katika kidole gumba cha mkono wake wa kulia, na kidole gumba cha mguu wake wa kulia. Atampaka mahali pale ambapo alimpaka ile damu ya sadaka ya kuondoa hatia
Kumbe tukikatwa tu napata utajiri mtumishi
 
Kwa hali ya mabadiliko ya tabia nchi, na bei ya MBOLEA na ukosefu wa mvua za kutosha na uhaba na ufinyu wa mavuno, wakija Bongo, theluthi nzima ya nchi itapanga foleni!

Chakula kutakuwa adimu Sana mwaka huu! Labda hiyo vuli ije mapema, na mvua zinyeshe za uhakika!
Ni kweli mkuu njaa ishaanza kuleta dalili
 
Duh [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
1654198733964.jpg
 
Chanzo kinasema ni 'utani unaoendelea mitandaoni' halafu nyie mnachukulia siriazi.
 
Uzi una picha.

Nimesikitika sana kitendo cha Waafrika wenzetu tuliowapambania kipindi cha kumtoa mkoloni Leo hii wanauza vidole vyao vya mguu kwa wazungu tena kwa bei nafuu ya USD 7000 mpaka 10000.

Dole gumba ni $7000
Kidole cha Kati cha mguu ni $9000
Nakidole kidogo cha mguu ni $10000.

Swali langu ni kuwa kwani hawa wazungu haya mavidole wanapeleka wapi? Kwanini wasiwakate huko kwao mpaka waje kwetu Afrika lakini. Au ndokulipiza hasira kwa alichowafanyia Mugabe Gabriel kuwapora Ardhi. Yani Kuna mambo Waafrika tunakuwa treated kama Mavi vile maana ukienda Dubai Dada zetu wanalishwa kinyesi ukija Africa tunakatwa vidole sasa sijui nini Kosa letu mpaka watufanyie hivi.

Yani kwa siku wazimbabwe zaidi ya buku tatu wanakatwa vidole vya mguu sasa hawa wazungu haya mavidole wanapeleka wapi. Serikali iingilie Kati maana Kuna watu watataka wauze vyote. View attachment 2248380View attachment 2248381
Kwamba serikali yao haioni mpaka uishauri? Usishangae ya Zimbabwe, si ajabu yakaja na Tz, maana upuuzi wowote ndio tunaoukimbilia.
 
Yani hapa ndo naanza kumuelewa msanii wa kizazi kipya roma mkatoriki kwenye kibao chake #narudiZimbabwe kumbe siri akutuambia kwanini anataka kurudi Zimbabwe [emoji1269]
 
aje tu nimuuzie vyote, mi vya nini sasa na hela sina 🤣 🤣
wanakuja lini tanzania
yeye anavipeleka wapi sasa
 
Back
Top Bottom