Siku zote huwa nasema ukisikia vurugu zimetokea kwenye maandamano au mikutano au shughuli zozote za vyama vya upinzani, jeshi la polisi ndio huwa chanzo cha kuanzisha vurugu hizo! Lakini pasipo jeshi kuanzisha vurugu huwa ni amani na salama salmini na hili limejidhihirisha katika mapokezi ya Lissu, Lait kama jeshi lingeyaingilia kati mapokezi yale kama jinsi lilichimba mkwara basi leo hii tungesikia madhara mengi sana huku mzigo wa lawama na makosa wakitwishwa wanachama wa CHADEMA ili tu waonekane wana hatia mbele ya macho ya sheria! Tusiruhusu utamaduni huu ukaota mizizi, nalipongeza jeshi la polisi utu waliouonyesha siku ya jana japo wengine wanasema ni sababu Bashite hayupo tena pale mbinguni alipokuwa akilitumia jeshi hilo kama mbwa wa kuwafuga nyumbani kwake! Yeye na viongozi wote wa aina yake namuomba Mungu awapotezee mbali kabisa!
 
Asanteni sana @tanpol !!! Tunawapenda SANA!! SISI ni watu wema!!! Tanzania ni YETU SOTE. Tusiruhusu maslahi ya WATU wachache watuvurugie UPENDO wa ASILI wa TAIFA LETU-Halima Mdee
Yawezekana kwa sababu mshauri mkuu na ambaye alikuwa anasikilizwa sana kaenda nchi za mbali kwa speed ya light.
 
Lisu siku zote anaamini ili kuwafurahisha wafuasi wake ni lazima kutumia lugha kali, kejeli, na dhihaka.
 
Mkuu kwani hao wanachi akili hizo za kufanya hayo kama Lisu angekamatwa hawakuwa nazo siku top ya viingizi wote wa chadema walipotiwa korokoroni?
 
Jana kulikuwa na mafuliko ya mapokezi ya Rais mtarajiwa. Ila cha ajabu magazeti na vyombo vyote vya habari viko bize na maombolezo ya mkapa.
 
Asanteni sana @tanpol !!! Tunawapenda SANA!! SISI ni watu wema!!! Tanzania ni YETU SOTE. Tusiruhusu maslahi ya WATU wachache watuvurugie UPENDO wa ASILI wa TAIFA LETU-Halima Mdee
Walipokea maelekezo wasiwaguse CHADEMA, wangepokea mengineyo wangeyafuata pia, siku hiizi kazi za usalama wa raia hazifanywi kiprofeshno, zinafanywa kwa maelekezo yatokanayo na utashi wa mtu, kile atakacho ndicho kinachofanywa
 
Lisu siku zote anaamini ili kuwafurahisha wafuasi wake ni lazima kutumia lugha kali, kejeli, na dhihaka.

Hizo lugha ziko vyama vyote. Ni juu ya kuelekezana kuwa vijembe na kejeli za hapa na pale ni sehemu ya siasa, ila visivuke mipaka, kwani sio kila mtu ni mvumilivu wa kiwango cha juu. Maana hata mimi ni mfuasi wake, na siafiki lugha kali zinazovuka mipaka.
 
Jana kulikuwa na mafuliko ya mapokezi ya Rais mtarajiwa. Ila cha ajabu magazeti na vyombo vyote vya habari viko bize na maombolezo ya mkapa.

Media nyingi Ni state owned, na zilizobaki Ni biased. Hii Ni hali ya kawaida sana kwenye nchi zenye serikali zinazotawala kwa mabavu.
 
Wewe ndie msemaji wa Watanzania?
Kiu ya watanzania ni Haki, Uadilifu,na Nfasi ya kujiendeleza kimaisha.
Tundu lisu atafanya sehemu ya hilo,
na Zito kabwe atawaelekeza kwenye uchumi, unajuwa ni serikali shirikishi, Wapinzani tunapiga mande dhidi ya CCM maharamia wa Taifa.
 
Lissu ndiye rais wa Tanzania ajaye baada ya uchaguzi wa October.
Mkuu kwani hao wanachi akili hizo za kufanya hayo kama Lisu angekamatwa hawakuwa nazo siku top ya viingizi wote wa chadema walipotiwa korokoroni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…