Mubashara nimeweka kambi hapa
Mungu mbariki Tundu Lissu

Ameshawasili dakika chache zilizopita, hapo airport
 
Huu ni ujumbe mzuri wenye maneno ya kujihami, ila wale jamaa wenye kidoti chekundu sijui kama hii lugha wanaielewa.
Muhimu ukienda usisahau chupa kubwa ya maji.
Kuwa CCM lazima upitie mafunzo ya kujenga uoga.
 
Kazi za kiweledi huwa hawataki kuzifanya, wanapenda kufanya kazi za kuharibu haribu, mfano sasa wanatumika na akina Bashite, Mwakyembe na wenzao walioshindwa kura za maoni kuwahuju washindi wa kura za maoni ili majina yakatwe huko Dodoma, CCM hutumia vyombo hivyo hata kuvurugana wenyewe kwa wenyewe, haya ni matumizi mabaya ya vyombo vya dola na njia mojawapo ya kuondokana na hayo ni kuja na katiba mpya inayezuia hivyo vioja.
 
Inatoshakusema hii nchi ni ya kwetu sote, watanzania sio wapumbavu na malofa!
 
Wewe wala sio CHADEMA uko hapa kupiga propaganda ili watu wasiende kumpokea Lissu. Halafu kwenda kumpokea mtu sio kosa sasa sijui kwanini unaleta habari za virungu.
Maskini Lissu, anadhani Chadema hii ni sawa na ile ya 2015 ha ha ha ha ha bora angebakia kwa mabeberu wenzake
 
Chadema mngelipa hata online tv moja jamani. Yaani hakuna online tv hata moja inayoonyesha live ujio wa Lissu. Wote wanaonyesha uhuru uwanja.
 
CHADEMA ilikimbia bunge kwa sababu ya COVID-19? Unakumbuka? Je, COVID-19 imeisha? Kwa nini, kwa mfano, CHADEMA isiwaambie wafuasi wake kwamba kila anayeenda airport avae mask? Huona kwamba katika hili CHADEMA inaji-contradict yenyewe?
Wakati wanakimbia kulikuwa na Corona TZ .... Rais keshatangaza kuwa Corona imeisha Tanzania. Sioni kama kuna kosa kuamini hivyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…