ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mubashara nimeweka kambi hapa
Katika hii miaka mitano tu ya utawala wa jiwe, zaidi ya trilioni 2.5 HAZIJULIKANI ZILIPO. Pesa hiyo ni zaidi ya UFISADI wote uliofanyika kwa awamu zote tangu tupate uhuru, unapata wapi ujasiri wa kushabikia na kutukuza MHALIFU wa kiwango hicho Mkuu n.g.u.r.u.w.e wa lumumba?
Mungu mbariki Tundu Lissu
Vijana wa POLICCM washaanza kuchafua hali ya hewa kama kawaida yao ..... ili wapate sababu!Soon as possible View attachment 1518445
Kuwa CCM lazima upitie mafunzo ya kujenga uoga.Huu ni ujumbe mzuri wenye maneno ya kujihami, ila wale jamaa wenye kidoti chekundu sijui kama hii lugha wanaielewa.
Muhimu ukienda usisahau chupa kubwa ya maji.
Lisu hapiti VIP ndio ilikuwa maana yangu.
Tulia mkuu, tumejaa hapa Airportbado hajafika?
Kazi za kiweledi huwa hawataki kuzifanya, wanapenda kufanya kazi za kuharibu haribu, mfano sasa wanatumika na akina Bashite, Mwakyembe na wenzao walioshindwa kura za maoni kuwahuju washindi wa kura za maoni ili majina yakatwe huko Dodoma, CCM hutumia vyombo hivyo hata kuvurugana wenyewe kwa wenyewe, haya ni matumizi mabaya ya vyombo vya dola na njia mojawapo ya kuondokana na hayo ni kuja na katiba mpya inayezuia hivyo vioja.Wakati mwingine ni matumizi mabaya tu ya madaraka. Hivi juzi watia nia wa ccm walikuwa wanagawa rushwa kama njugu hadharani, hao watu wa usalama hawakufanya lolote. Lakini leo wameagizwa na wanasiasa ili waonekane wanafanya kazi, kwa kumsubiri mwanasiasa ambaye hakuwa mkimbizi, hana sifa ya kuendesha makundi ya yanayomiliki silaha, wala hajawahi kuingia msituni, anapokelewa kama gaidi.
Mambo haya ndio yanapelekea wazungu kutuita manyani. Mtu anakuja mchana kweupe, na katangaza kabisa, kuna haja gani kwa vyombo vya usalama vinavyojitambua kwenda kujenga taswira ya uhasama usio na sababu yoyote, ili kukidhi kiu ya mwanasiasa anayeongoza nchi? Hapa ndio tunapotaka katiba irekebishwe, na baadhi ya mamlaka ziondolewe kwa rais, ili taasisi zetu zibaki kufanya kazi kwa weledi, badala ya kutumiwa kwenye siasa chafu.
AminaKaribu nyumbani TL
Mungu yupo nawe ALIKULINDA ATAKULINDA
bado hajafika?
Kawaida sana hiyoSoon as possible View attachment 1518445
A Bible is a letter with nice messages and promises from God the Almighty.
Maskini Lissu, anadhani Chadema hii ni sawa na ile ya 2015 ha ha ha ha ha bora angebakia kwa mabeberu wenzakeWewe wala sio CHADEMA uko hapa kupiga propaganda ili watu wasiende kumpokea Lissu. Halafu kwenda kumpokea mtu sio kosa sasa sijui kwanini unaleta habari za virungu.
Wakati wanakimbia kulikuwa na Corona TZ .... Rais keshatangaza kuwa Corona imeisha Tanzania. Sioni kama kuna kosa kuamini hivyo!!CHADEMA ilikimbia bunge kwa sababu ya COVID-19? Unakumbuka? Je, COVID-19 imeisha? Kwa nini, kwa mfano, CHADEMA isiwaambie wafuasi wake kwamba kila anayeenda airport avae mask? Huona kwamba katika hili CHADEMA inaji-contradict yenyewe?
haya twende kazi, nishawasili hapa uwanjani .