MESHACK WARIOBA
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,068
- 1,174
Brother Muheshimiwa Rais si ameshatangaza Huko Tz hakuna Korona? Unataka kupingana naye? Huku kwetu Ughaibuni ndio bado ipo; Hata Bosi wangu naye amekuja Tz Mountain ClimbJe, COVID-19 imeisha? K
Nadhani hukuelewa, Ummy Mwalimu alitangaza kwanza kuhusu 14 days za isolation unapokuwa unekutana na mtu ambaye kafariki kwa virus vya Corona, alipofariki Dr.Mahiga, Chadema walikuwa wakitekeleza maagizo ya waziri wa Afya, kipindi hicho waziri mkuu wa Afya Rais Magufuli alikuwa hajamzuia kutoa update za Corona.Kwani CCM walikimbia Bunge kwa sababu ya COVID-19? Hapa natumia tu mfano huu mmoja kuhoji msimamo wa CHADEMA na vyama vingine katika kusimamia sera zao. Ukiweka ushabiki pembeni utanielewa sana!
Mama tumetua hapa airport nilichokiona ni balaaaaaaaaaaaaaaChadema mngelipa hata online tv moja jamani. Yaani hakuna online tv hata moja inayoonyesha live ujio wa Lissu. Wote wanaonyesha uhuru uwanja.
Polisi wetu hawakubali tena kutumiwa na wana siasa siku hizi za karibu na Uchaguzi,
Lazima wawe waangalifu sana ,
Mwana siasa ndie bosi pale atakapoingia Ikulu.
Huna akili
CHADEMA ilikimbia bunge kwa sababu ya COVID-19? Unakumbuka? Je, COVID-19 imeisha? Kwa nini, kwa mfano, CHADEMA isiwaambie wafuasi wake kwamba kila anayeenda airport avae mask? Huona kwamba katika hili CHADEMA inaji-contradict yenyewe?
Mmoja wenu ndo salary slip..Bila shaka BBC, Aljazeera, CNN, VOA na vyombo vingine vya kimataifa vitakuwepo hapo uwanjani.
Makamanda katika picha wakielekea airport:
View attachment 1518252
Nyomi iko wapi sasa hapo mkuu? Hata watu elfu wanafika hao?Jiwe akiona hili Nyomi atatuma Kamandi Nzima ya Bakabaka kwenda kuwatawanya
Nasema wazi CDM wamejitokeza kwa wingi uwanja wa ndege kumpokea Lissu, na zaidi sikutegemea kuona mpaka watoto wa kike wengi namna hii tena wenye nyuso zilizojaa tabasamu kubwa hivi!.
CCM huko Lumumba na Chamwino hawaamini kinachoendela ..... ile propaganda ya kuwa jamaa anakubalika 90 % itabidi waanze kujiuliza mara mbili mbili.haya twende kazi, nishawasili hapa uwanjani .
Kwa hiyo chadema wamekubaliana na rais wetu?Wakati wanakimbia kulikuwa na Corona TZ .... Rais keshatangaza kuwa Corona imeisha Tanzania. Sioni kama kuna kosa kuamini hivyo!!
Hahaha, naomba nikujibu kwa niaba yao.Chadema mngelipa hata online tv moja jamani. Yaani hakuna online tv hata moja inayoonyesha live ujio wa Lissu. Wote wanaonyesha uhuru uwanja.
Mama tumetua hapa airport nilichokiona ni balaaaaaaaaaaaaaa