Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Kwani CCM walikimbia Bunge kwa sababu ya COVID-19? Hapa natumia tu mfano huu mmoja kuhoji msimamo wa CHADEMA na vyama vingine katika kusimamia sera zao. Ukiweka ushabiki pembeni utanielewa sana!
Nadhani hukuelewa, Ummy Mwalimu alitangaza kwanza kuhusu 14 days za isolation unapokuwa unekutana na mtu ambaye kafariki kwa virus vya Corona, alipofariki Dr.Mahiga, Chadema walikuwa wakitekeleza maagizo ya waziri wa Afya, kipindi hicho waziri mkuu wa Afya Rais Magufuli alikuwa hajamzuia kutoa update za Corona.

Corona haikuwa na sio sera ya Chadema.

Chama kilitekeleza maagizo ya serikali yaliyokuwa yakitolewa na waziri mdogo wa afya Ummy Mwalimu.
 
Kweli kabisa mkuu maana hakuna anaye ijua kesho yake.
Polisi wetu hawakubali tena kutumiwa na wana siasa siku hizi za karibu na Uchaguzi,
Lazima wawe waangalifu sana ,
Mwana siasa ndie bosi pale atakapoingia Ikulu.
 
Huna akili

Sawa. Lakini CHADEMA ilikimbia bunge kwa sababu ya COVID-19. Wewe mwenyewe akili unakumbuka hilo? Kwa nini CHADEMA walau kisingewahamasisha wafuasi wake kuvaa masks? Huoni kwamba katika hili CHADEMA kinacheza ngoma ya CCM?
 
Nimependa jinsi mamlaka zilivyopuuza hii tukio.hinafsi ni mpinzani wa polisi kujishughulisha na kila upuuzi.

Mengine mnaacha yanapita kama hivi,halafu watu wanabaki wamesimama,wasijue wanashika shughuli ipi baada ya kick kubuma.
 
Hoja mfu
CHADEMA ilikimbia bunge kwa sababu ya COVID-19? Unakumbuka? Je, COVID-19 imeisha? Kwa nini, kwa mfano, CHADEMA isiwaambie wafuasi wake kwamba kila anayeenda airport avae mask? Huona kwamba katika hili CHADEMA inaji-contradict yenyewe?
 
Bila picha utakua unatuongopea tu.
Nasema wazi CDM wamejitokeza kwa wingi uwanja wa ndege kumpokea Lissu, na zaidi sikutegemea kuona mpaka watoto wa kike wengi namna hii tena wenye nyuso zilizojaa tabasamu kubwa hivi!.
 
Wakati wanakimbia kulikuwa na Corona TZ .... Rais keshatangaza kuwa Corona imeisha Tanzania. Sioni kama kuna kosa kuamini hivyo!!
Kwa hiyo chadema wamekubaliana na rais wetu?

Basi sawa
 
Makosa yaleyale waliofanya mwanzo ndo yanajirudia kunakitu tunaita kutokuacha alama au ushahidi kwa lugha nyingine mfano Inshu ya J nassari kufukuzwa ubunge au la mbowe na ishu ya kuvunjika mguu usiku dodoma Sasa ndo hapa chadema wamefeli kuweka karata zao vizuri wanajua lisu anakesi mahakamani na wadhamini wake kila tarehe ya mahakamani wanaomba wajiondoe kumdhamini lisu sasa leo kaja ndo najiuliza hapa mahakamani haitatoa hati ya kumkamata lisu sababu anakesi mahakamani na wadhamini wake kila siku ya shauri uomba wajitoe kumdhamini?
 
Back
Top Bottom