Ndiyo maana bwana yule siku ile ya mkutano wao mkuu aliwaonya lumumba wenzake kuwa wasiende kwenye uchaguzi wakiwa na matokeo mfukoni
CCM huko Lumumba na Chamwino hawaamini kinachoendela ..... ile propaganda ya kuwa jamaa anakubalika 90 % itabidi waanze kujiuliza mara mbili mbili.
 
Nimeiona video huo umati wa watu sio mchezo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…