mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Hili ndio nyomi lake[emoji16][emoji16][emoji16]
Woyooooooooooooòoooo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndio nyomi lake[emoji16][emoji16][emoji16]
Hawakuwa kusema hawakubaliani naye kuhusu hali ya corona Tanzania .... hivyo naamini wamekubaliana naye!!Kwa hiyo chadema wamekubaliana na rais wetu?
Basi sawa
Rais wa mioyoni[emoji16]Mkuu wa Nchi anaingia. rais wa mioyo yetu
Unadhani Online Tv hazijipendi au hujui TCRA ndio inatoa leseni kwa hizo online tv?Chadema mngelipa hata online tv moja jamani. Yaani hakuna online tv hata moja inayoonyesha live ujio wa Lissu. Wote wanaonyesha uhuru uwanja.
Na hizo picha anazitupia toka nyumbani sio?Akupe kinachojili wakati yuko nyumbani kwake tena chumbani akiwa amelala!!
CCM huko Lumumba na Chamwino hawaamini kinachoendela ..... ile propaganda ya kuwa jamaa anakubalika 90 % itabidi waanze kujiuliza mara mbili mbili.
Hatuwahitaji polisi tukimaliza hapa uhamiaji tunaongozana hadi ufipaChadema wameumia sana kupuuzwa na vyombo vya dola. Walitegemea msaliti wa taifa atapewa kiki. Imebuma.
Nimeiona video huo umati wa watu sio mchezo!!Salaam Wakuu,
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki.
Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini Dodoma ,Septemba 7, mwaka 2017, saa 7 mchana, Area ‘D’, kwenye nyumba ya makazi ya viongozi wa Serikali mjini Dodoma.
“Lissu kwa sasa anatimiza mwaka wa tatu na anarejea hapa nchini baada ya kupona kikamilifu. Watanzania na wanachama wa Chadema wanakutana hapa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), kwa lengo la kumpokea makamu mwenyekiti wa chama chao Lissu.
Hivyo timu nzima tupo hapa kukuletea kile kitakachojiri kwenye mapokezi haya.
Stay tuned.
======
UPDATE (NOTE: Picha zipo post ya 2):
1105HRS: Hapa uwanjani pametulia, hakuna fujo wala dalili za fujo, Wanachama wachache wa CHADEMA wanaonekana wakipita pita huku na kule. Bado sijabahatika kuona gari la Polisi Wala Gari la CHADEMA.
Ratiba inaonesha muda wa ndege kufika ni saa saba na dakika Ishirini. Angalia kwenye chati
1121hrs: Saa moja iliyoisha Tundu Lissu ndo amepanda ndege ya Ethiopian Airlines ET 805 kutoka Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Bole Addis Ababa kuja hapa Dar Julius Kambarage Nyerere International Airport.
Safari inatazamiwa kuchukua masaa yasiyozidi Matatu kufika hapa tulipo.
1140hrs: Mwenyekiti Mkoa wa Iringa CHADEMA William Mungai, aliyekuwa Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche na aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi(Sugu) Wakiwa Wamefika hapa Uwanja wa ndege kumpokea Lissu
1156HRS: Kutoka kushoto: Hekima Mwasipu, Wakili wa Chadema, Sugu, Catherine Ruge(Simba Jike) Viti Maalum Mara na Mgombea wa Jimbo la Segerea CHADEMA
1230hrs: Polisi Magari Mawili ya Polisi wameshusha Wanausalama wa kulinda amani wapatao kama 30 nje ya Viunga vya Uwanja wa ndege. Wamekaa mstari kama Gwaride na wanapewa Maelekezo. Wameshusha njia Panda ya kuelekea Uwanja wandege. Kuna askari wanne walikuwepo tangu asubuhi Wakihoji kila anaye ingia.
Bodaboda kama 50 wapo hapo Askari Polisi Walipo, nadhani Wamekataliwa kuingia. Vilevile Magari ya CHADEMA maarufu kama Magari ya M4C, Yapo sehemu hiyo ya njiapanda yakizunguka huku na kule. Magari ya CHADEMA yapo Matano yamejaa watu waliovalia nguo za CHADEMA.
Polisi ukijielezea unapoelekea ndo Wanaruhusu. Lalikini kuna baadhi ya Wafanyakazi(Walinzi wa Uwanja, sio Polisi) ndo wanakataza watu kuingia.
1240: Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wameweza kupenya na kuongia ndani sehemu ya kusubiria Wageni
1300hrs: Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wameruhusiwa kuingia. Wengine wapo nje ya Uwanja wanaimba nyimbo.
Polisi Tanzania Wamewaruhusu Wanachama wote wa CHADEMA na Wafuasi wa Tundu Lissu. Muda wowote ndege itawasili
Hata mtu Facebook au instagram angeenda live.Unadhani Online Tv hazijipendi au hujui TCRA ndio inatoa leseni kwa hizo online tv?
Mama tumetua hapa airport nilichokiona ni balaaaaaaaaaaaaaa
Unasemaje wewe!!!!embu mpokee rais wenu wa jamhuri ya chadema.Hawakuwa kusema hawakubaliani naye kuhusu hali ya corona Tanzania .... hivyo naamini wamekubaliana naye!!
Mama tumetua hapa airport nilichokiona ni balaaaaaaaaaaaaaa
Vipi corona imeishaWewe ndiye sifuri kabisa
Unadhani kwa mazingira ya hofu ya mkono wa chuma wa sasa inawezekana kweli?Chadema mngelipa hata online tv moja jamani. Yaani hakuna online tv hata moja inayoonyesha live ujio wa Lissu. Wote wanaonyesha uhuru uwanja.
Aibu yenu uvccm na mataga kwa ujumla.Nimependa jinsi mamlaka zilivyopuuza hii tukio.hinafsi ni mpinzani wa polisi kujishughulisha na kila upuuzi.
Mengine mnaacha yanapita kama hivi,halafu watu wanabaki wamesimama,wasijue wanashika shughuli ipi baada ya kick kubuma.
Anatupiwa nae anatupiaNa hizo picha anazitupia toka nyumbani sio?
Endeleeni kunena kwa lugha ,chuma ndio hivyo kimeshatua!Nimependa jinsi mamlaka zilivyopuuza hii tukio.hinafsi ni mpinzani wa polisi kujishughulisha na kila upuuzi.
Mengine mnaacha yanapita kama hivi,halafu watu wanabaki wamesimama,wasijue wanashika shughuli ipi baada ya kick kubuma.