Sawa. Lakini CHADEMA ilikimbia bunge kwa sababu ya COVID-19. Wewe mwenyewe akili unakumbuka hilo? Kwa nini CHADEMA walau kisingewahamasisha wafuasi wake kuvaa masks? Huoni kwamba katika hili CHADEMA kinacheza ngoma ya CCM?
.
 
Naona wewe hufuatiligi mwenendo wa kesi hiyo ya mh Lissu
 
Hakyamungu Chuma kimetua, jamani MUNGU yupo, muuaji anajisikia vibaya sana saa hii, analia machozi na mda wowote mshtuko wa moyo unaweza mpata.

Acheni Mungu aitwe Mungu, loh, kuanzia leo naanza kusadiki Mungu yupo, anaishi!
 
Endeleeni kunena kwa lugha ,chuma ndio hivyo kimeshatua!
Na tunatarajia atakuwa rais 2020-2025[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Embu soma huu mstari huku unacheka.
 
Sawa. Lakini CHADEMA ilikimbia bunge kwa sababu ya COVID-19. Wewe mwenyewe akili unakumbuka hilo? Kwa nini CHADEMA walau kisingewahamasisha wafuasi wake kuvaa masks? Huoni kwamba katika hili CHADEMA kinacheza ngoma ya CCM?
Kwa wakati ule cdm walikua sahihi, kwa sasa umeona wangapi wanavaa hiyo kitu ?
Hii siyo Kenya

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
COVID-19 imeisha?! No more masks, no social distancing etc. Hapa ndio ninatatizwa na sera za vyama vya upinzani hapa nchini.

Inawezekana wanatumia Akili Upinzani,Moyo Serikali ya ccm.
Kwaio wanapinga kwa akili,wanafuata kwa utashi wa ccm.
 
Busara imetumika kuwaruhusu, natumai wanachadema wataheshimu sheria za nchi na kumsindikiza kipenzi chao sehemu husika baada ya kushuka.

Mama Tanzania ni mama yetu wote, tupendane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…