Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
This is a country of the living, not the dead.Mpokeeni Lissu kwa Amani na utulivu tuko kwenye msiba mzito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is a country of the living, not the dead.Mpokeeni Lissu kwa Amani na utulivu tuko kwenye msiba mzito
Kwani tangu lini mgonjwa wa akili alivunja sheria!Haisaidii chochote maana hatuvunji sheria yoyote ile
Duuuu yamenoga kweli
Chadema mmekera watu mno mnashindwaje kwenda live kwny social networks?
Watu wengi wanatamani waone kinachoendelea hapo airport
Wababaishaji tu, hakuna sautiWatetezi TV wako live
hali inatisha ndugu wajumbe
Nipo uwanjani watu ni Nyomi usipime
Mwenzako Funza yuko wapi?
Umeonaeee ubishi wenu mwisho wake Lissu.hivi amekuja kweli duh... amechafua hali ya hewa
Wewe endelea kuomboleza maana Lisu anaugulia Risasi hatukumsikia nayy akilaaniMpokeeni Lissu kwa Amani na utulivu tuko kwenye msiba mzito
Sio busara, donors wameamuru asibughudhiwe.Busara imetumika kuwaruhusu, natumai wanachadema wataheshimu sheria za nchi na kumsindikiza kipenzi chao sehemu husika baada ya kushuka.
Mama Tanzania ni mama yetu wote, tupendane.