Yap maisha yetu ni jukumu letu hakuna kutia huruma tena
 
mbona unashadadia huo ukilema wake? Kama kilema hana sifa ya kuongoza watanzania mbona kwenye baraza lenu la mawaziri kuna walemavu?

Au leo hii unataka kutuaminisha kuwa rais alifanya makosa kumteua huyo waziri kisa ni mlemavu?
Kwa huyo kilema!
 
SHAZI KOMPARIZONI IKOJE BITWINI

UHURU VS JKNIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…