Hizo ngonjera nadhani mlizianza miaka ya 2012 kuwa cdm ishakufa, na wewe ulikuwa mmoja wapo uliye kuwa unaimba hizo ngonjera.

Lkn leo hii ni takribani miaka 8 bado cdm ipo inazidi kuvuma kama kimbunga. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123]

Karibu sana mkuu Lizaboni bado tupo tunapambana.
Mmawia upoo? CHADEMA ndo ishahifia. Atawazidi mpaka Zitto Kabwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…