Kwa huyo kilema!
@Lizaboni mkuu
Huyu tunaemuaga Leo alisimama kwa miguu take
Angeamua kuendesha hata v8 kumi angeendesha,alikua na mamlaka yote,angeamua ata wew angekuweka jera!
Lakini Leo Hana maana,udongo unamsubir chini
Miaka mingapi mbele atabaki kwenye history yetu, maana yake heshimu Sana pumzi ya mtu,
Mungu hakumuumba lissu kilema,wew unasema kilema,ukilema upi? Umesababishwa na Nan?
(Nlikua nnaongea kistaarabu)

Kama unakeleka humu sepa,Kuna thread nyingi humu mkuu zakusoma,ukitaka kale au kaliwe kimasikhara,acha watu wamsubiri kiongoz wao
Mbona unaumia,anakuja kukaa kwenu,utamlisha,anakuongezea Nini
Some time acha usiandike upupu humu
 
Ma**ya tuondolee nuksi

Polisi oyeeeeeee.. muna hasira.. kuntu kuntu
Bamewapiga 5-0.. mukwende kulia sasa πŸ˜ƒπŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ˜ƒ
Utabukuwa umejifunza.. hilo kuneno.. kukwenu balivyo..

Laivu baandishi bamepiga magoti..
 
Polisi oyeeeeeee.. muna hasira.. kuntu kuntu
Bamewapiga 5-0.. mukwende kulia sasa [emoji2][emoji1433][emoji1433][emoji2]
Utabukuwa umejifunza.. hilo kuneno.. kukwenu balivyo..

Laivu baandishi bamepiga magoti..

Umeona mapokezi lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…