Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Pamoja kiongozi
Nyingine hiyoView attachment 1518493
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyingine hiyoView attachment 1518493
Kama hauja olewa naomba nitangaze niaSijawahi hata kwenda kwa mganga tokea nizaliwe miaka 34 iliyopita.
Ahsante mchumba
Umeona mapokezi lkn
Ili mseme kapanda ndege ya mabeberu?
Hujanielewa bosi......huyu ndio fundi Wa baba yenu yule mshamba Wa madaraka na yesu Wa kange
Kuanzia leo sirudii tena kuwaita WANAUME WA DAR nyie niashujaa kwa haya mapokezi makubwa kwa kipenzi Cha watz TUNDU LISSU
Mungu ni mkubwa, shujaa katimba home, Mungu ampe maisha marefu kama mchanga Wa bahari!Nyingine hiyo
View attachment 1518493
Angewabeba wanajeshi wote kwenda kudeki uwanja wa ndege
Huku wasaidizi wake wakiwa wanafuatilia update hapa JF.Kuna mtu kajificha sehemu anafatilia tukio la kurudi kwa Lissu huku akiwa kachukia na anatema mate kama mjamzito[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndoto kweli, amka usije ukajikojolea,Wow! Naona kama ndoto!
kuna mkwara wa AI wameu sweat naona.Hii ndio police tunayo hitaji..View attachment 1518497View attachment 1518498View attachment 1518499
Duh!Ninabaona ila imekata..
Leo Serikali bamewaweza sana..
Magufuli oyeeeee..
View attachment 1518496
Banasubiri akuje hapo..
Uliwapeleka policcm?Haogopi bali Chadema imejaa vibaka kwa hiyo ulinzi ni muhimu. Nilishuhudia wakati Chadema wanautoa mwili wa marehemu Mawazo Bugando Mwanza walikuwa wa awalazimisha watu ambao walikuwa hawahusiani na msiba ule eti waungane nao na kupora mali za Wamachinga maeneo ya Nata na kwingineko walikokuwa wakipita. Serikali iweke ulinzi imara kwa ajili ya raia wake na si kwa ajili ya Lissu