Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Nyingine hiyoHaki ya mungu kweli watanzania wanaipenda sana cdm, yaani pamoja na vitisho vyoote vya wamiliki wa virungu jana lkn bado watu wamejazana hapa uwanja wa ndege.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyingine hiyoHaki ya mungu kweli watanzania wanaipenda sana cdm, yaani pamoja na vitisho vyoote vya wamiliki wa virungu jana lkn bado watu wamejazana hapa uwanja wa ndege.
Hivi ni nani huyu Lizakenge😁😁Ana hasira za wajumbe huyo! Alipewa teuzi akatamani vya zaidi kwa kiherehere chake wajumbe wamempiga spana
Yeye na Chabruma (kigamboni) hawana hamu na wajumbe
Angewabeba wanajeshi wote kwenda kudeki uwanja wa ndegeDar ya kunenge imetulia haswa,,,, Ingekua ya paula press angefanya hapo Uwanjani
Unaonekana una sura mbaya. Kama umeolewa mume wako ana moyoHebu usiniambie mambo iliyopita. Hapa naongelea Lissu. Babu Tale ndo mdudu gani ?
Mimi ni mama bwana. Nina watoto tayari nakuwaje binti ?Kumbe mkuu wewe ni binti kabisa.
Hongera mkuu
@Lizaboni mkuuKwa huyo kilema!
Kesho tunakuja kuujaza huo uwanja kidogo upate mvuto maana mko wenyewe na hapo ndio muamini Lissu ni kipenz cha watanzania na upinzani upo moyoniMunasikitika hawajabapa lile mulitaka.. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mulitaka mufujooooo.. mulie.. sasa bamewapiga 5-0.
Awamu ya 5 oyeeeeee
We are for Peace; but when we speak, you are for war.Magufuli aliahidi uchaguzi wa huru na haki ili wakipigwa wasilalamike hovyo.
Nonsense.Unaonekana una sura mbaya. Kama umeolewa mume wako ana moyo
Kwa tume ipi? Hiyo ya kwake ya MFUKONI?Magufuli aliahidi uchaguzi wa huru na haki ili wakipigwa wasilalamike hovyo.
Tcra bado wana akili za makondaTCRA noma sana
Naona wameamua kublock source zote!
Ma**ya tuondolee nuksi
Huu ndio ukweliNonsense.
Wewe wasema.Huu ndio ukweli
Polisi oyeeeeeee.. muna hasira.. kuntu kuntu
Bamewapiga 5-0.. mukwende kulia sasa [emoji2][emoji1433][emoji1433][emoji2]
Utabukuwa umejifunza.. hilo kuneno.. kukwenu balivyo..
Laivu baandishi bamepiga magoti..