AIf you are fooled be a little wise not to fool others!!!
 
Hebu waone hawa! Eti kuna wakati walienda kujifungia kisa wanaiogopa corona!

Wana drama sana hawa watu!

Mna kazi kweli leo lumumba!

Comments zenu hazionekani masikini, leo buku saba lazima muitapike, najua hata nyie mnatamani kuja JNIA kumpokea mheshimiwa Lissu, poleni, leo kazi ngumu kupambana na watanzania
 
Clouds tv walikua live sinza mkutano mkuu wa Cuf wamemaliza kule wamerudi Studio
Nini tafsiri yake ?
Dw wamerusha hewani toka Airport, BBC nina imani jioni watatupa package ya kutosha
Najiuliza vipi sasa vyombo vyetu vya habari hasa tv watatupa majumuisho ?
Wacha leo tuone changamoto hii ya local media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…