Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Mna kazi kweli leo lumumba!

Comments zenu hazionekani masikini, leo buku saba lazima muitapike, najua hata nyie mnatamani kuja JNIA kumpokea mheshimiwa Lissu, poleni, leo kazi ngumu kupambana na watanzania
Kama wamezuiwa hata nyinyi msingefika hapo.

Tujaribu kuwa na utulivu tu.
 
Nachomuomba tundu Lissu lazima atembelee viatu vya Martine Ruther king. Katikati ya majaribu, thiki na anapoona hakuna haki ahubiri amani, Umoja na Upendo na kutoa hotuba za kuwashawishi watawala kutenda haki zaidi ya Alaiki ya watu kudai haki kwenye mazingira yasio Rafiki. Na inawezekana kabisa.

Naomba asijaribu kuwa Kama Patrick Lumumba wa Kongo. Akili ndogo ya kudai haki na nguvu nyingi ilipoteza kabisa Malengo yake binafsi na ya taifa lake.

Mkuu nakubaliana na wewe 100% !
 
@Lizaboni mkuu
Huyu tunaemuaga Leo alisimama kwa miguu take
Angeamua kuendesha hata v8 kumi angeendesha,alikua na mamlaka yote,angeamua ata wew angekuweka jera!
Lakini Leo Hana maana,udongo unamsubir chini
Miaka mingapi mbele atabaki kwenye history yetu, maana yake heshimu Sana pumzi ya mtu,
Mungu hakumuumba lissu kilema,wew unasema kilema,ukilema upi? Umesababishwa na Nan?
(Nlikua nnaongea kistaarabu)

Kama unakeleka humu sepa,Kuna thread nyingi humu mkuu zakusoma,ukitaka kale au kaliwe kimasikhara,acha watu wamsubiri kiongoz wao
Mbona unaumia,anakuja kukaa kwenu,utamlisha,anakuongezea Nini
Some time acha usiandike upupu humu
Mkuu mwambie yeye aende kuangalia maiti.
 
IMG_20200727_144943.jpg
 
Clouds tv walikua live sinza mkutano mkuu wa Cuf wamemaliza kule wamerudi Studio
Nini tafsiri yake ?
Dw wamerusha hewani toka Airport, BBC nina imani jioni watatupa package ya kutosha
Najiuliza vipi sasa vyombo vyetu vya habari hasa tv watatupa majumuisho ?
Wacha leo tuone changamoto hii ya local media.
Labda mwenyekiti hajalipia kipindi kuruka kwa hewaaaa[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ni vizuri kama hakuna vurugu.
Hicho ndo wengi tulikihofia.

Hamnaga fujo, viongozi wa ccm ndio huwa wanaagiza polisi wawapige wapinzani kwa sababu ya wivu wa kisiasa. Mikutano ya kampeni 2015 ilikuwa na watu wengi kuliko hao, na hakukuwa na fujo yoyote.
 
Mbona kuna mawaziri wenu ni walemavu nao unaona hawafai?

Unamkosoa mteuzi wao kuwa kakosea kuwateua mawaziri walemavu?

Wewe unaijua kesho yako au umeamua kujitoa akili? Hujui kuwa hata wewe pia ni mlemavu wa kesho? Omba sana mungu akusamehe kwa kumkosoa aliye kuumba.
Lissu ana wake wengi mpaka wewe pia umeolewa na 2pac
 
Nadhani wamekubali risk kutokana na mapenzi yao kwa wanaeenda kumpokea.

Amandla...
Duh!

Hivi hii Corona kweli ni hatari kivile au?

Manake hata pale uwanja wa Uhuru bado naona watu wanaoenda kuuaga mwili wa Mkapa nao hawavai facial covering yoyote ile.

Si viongozi, si Askari, si raia wa kawaida!!!

Kama kweli corona ingekuwa ni hatari kivile, athari zake zisingefichika.

Hata Lissu naye nimeona kaishusha kabisa barakoa yake.
 
Serikali imefanya kitu cha maana sana kuwaacha hawa jamaa wakusanyike bila kuwasumbua. Ishu ni wadhamini wake wakimuona maana ndio wanaosumbuliwa mahakani...
 
Back
Top Bottom