Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Nonsense
Lissu ana wake wengi mpaka wewe pia umeolewa na 2pac
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu ana wake wengi mpaka wewe pia umeolewa na 2pac
[emoji38][emoji38]link hatukupi wewe angalia msiba wa Raisi wako
Wewe mwenyewe ni lofa siku ya kupiga kura hutakuwepo utakuwa umekufa kwa Corona ilyomuua babu yako kwa kafara la cyprian Musiba na BashiteWengi walioenda kumpokea Airport ni malofa tu,siku ya kupiga kura hawatapiga watakuwa kwenye harakati za kuondoa ulofa ndiyo uzuri wa malofa.
Serikali imefanya kitu cha maana sana kuwaacha hawa jamaa wakusanyike bila kuwasumbua. Ishu ni wadhamini wake wakimuona maana ndio wanaosumbuliwa mahakani...
Endeleeni kunena kwa lugha!Wengi walioenda kumpokea Airport ni malofa tu,siku ya kupiga kura hawatapiga watakuwa kwenye harakati za kuondoa ulofa ndiyo uzuri wa malofa.
Kwa kweli hili nyomi ni la kawaida sana. Kwa haraka haraka unaweza hisi anaepokelewa ni anae kuja kum replace Luc Eymael sio anaekuja kugombea urais wa nchi
Msiwashangilie polisi, wapongezeni kwa maandishi kutekeleza wajibu wao.
Si polisi wote wasiofata taratibu. Wengi wao ni weledi sana.
Wamebana wameachia dadekiPICHA KUTOKA JNIA
======
UPDATES;
1105HRS: Hapa uwanjani pametulia, hakuna fujo wala dalili za fujo, Wanachama wachache wa CHADEMA wanaonekana wakipita pita huku na kule. Bado sijabahatika kuona gari la Polisi Wala Gari la CHADEMA.
View attachment 1518414
View attachment 1518413
Ratiba inaonesha muda wa ndege kufika ni saa saba na dakika Ishirini. Angalia kwenye chati
View attachment 1518416
1121hrs: Saa moja iliyoisha Tundu Lissu ndo amepanda ndege ya Ethiopian Airlines ET 805 kutoka Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Bole Addis Ababa kuja hapa Dar Julius Kambarage Nyerere International Airport.
Safari inatazamiwa kuchukua masaa yasiyozidi Matatu kufika hapa tulipo.
View attachment 1518415
1140hrs: Mwenyekiti Mkoa wa Iringa CHADEMA William Mungai, aliyekuwa Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche na aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi(Sugu) Wakiwa Wamefika hapa Uwanja wa ndege kumpokea Lissu
View attachment 1518417
1156HRS: Kutoka kushoto: Hekima Mwasipu, Wakili wa Chadema, Sugu, Catherine Ruge(Simba Jike) Viti Maalum Mara na Mgombea wa Jimbo la Segerea CHADEMA
View attachment 1518418
1230hrs: Polisi Magari Mawili ya Polisi wameshusha Wanausalama wa kulinda amani wapatao kama 30 nje ya Viunga vya Uwanja wa ndege. Wamekaa mstari kama Gwaride na wanapewa Maelekezo. Wameshusha njia Panda ya kuelekea Uwanja wandege. Kuna askari wanne walikuwepo tangu asubuhi Wakihoji kila anaye ingia.
Bodaboda kama 50 wapo hapo Askari Polisi Walipo, nadhani Wamekataliwa kuingia. Vilevile Magari ya CHADEMA maarufu kama Magari ya M4C, Yapo sehemu hiyo ya njiapanda yakizunguka huku na kule. Magari ya CHADEMA yapo Matano yamejaa watu waliovalia nguo za CHADEMA.
Polisi ukijielezea unapoelekea ndo Wanaruhusu. Lalikini kuna baadhi ya Wafanyakazi(Walinzi wa Uwanja, sio Polisi) ndo wanakataza watu kuingia.
View attachment 1518419View attachment 1518420
1240: Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wameweza kupenya na kuongia ndani sehemu ya kusubiria Wageni
View attachment 1518423View attachment 1518422View attachment 1518421
View attachment 1518424
View attachment 1518425
1300hrs: Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wameruhusiwa kuingia. Wengine wapo nje ya Uwanja wanaimba nyimbo.
View attachment 1518426
Polisi Tanzania Wamewaruhusu Wanachama wote wa CHADEMA na Wafuasi wa Tundu Lissu. Muda wowote ndege itawasili
View attachment 1518431
View attachment 1518432
CCM huwa ndiyo hukodi watu kwenda popote, chadema watu hujitokeza wenyeweHiki chama walisema kimekufa,au wamekodi watu waje wajaze uwanja
HhhHii ndio police tunayo hitaji..View attachment 1518497View attachment 1518498View attachment 1518499
Nina furaha sana leo,Allah akbardooh.. sorry mkuu, nisamehe bure, nilifikiri mataga flan hivi..! sorry sana!
Hiki chama walisema kimekufa,au wamekodi watu waje wajaze uwanja
Mtego umebuma. Kusanyikeni hadi juu ya matairi ya ndege anayokuja nayo, hawagusi mtu kuwapa kiki..Nonsense