Wajumbe wa mitandaoni sio watu wazuri. Mwisho wa siku alijikuta mwenyewe hakuna anaemsapoti
Mbona watu wengi nilikuwa nafatilia BBC swahli sema wamekatika
 
Mna kazi kweli leo lumumba!

Comments zenu hazionekani masikini, leo buku saba lazima muitapike, najua hata nyie mnatamani kuja JNIA kumpokea mheshimiwa Lissu, poleni, leo kazi ngumu kupambana na watanzania
Kama wamezuiwa hata nyinyi msingefika hapo.

Tujaribu kuwa na utulivu tu.
 

Mkuu nakubaliana na wewe 100% !
 
Mkuu mwambie yeye aende kuangalia maiti.
 
Labda mwenyekiti hajalipia kipindi kuruka kwa hewaaaa[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ni vizuri kama hakuna vurugu.
Hicho ndo wengi tulikihofia.

Hamnaga fujo, viongozi wa ccm ndio huwa wanaagiza polisi wawapige wapinzani kwa sababu ya wivu wa kisiasa. Mikutano ya kampeni 2015 ilikuwa na watu wengi kuliko hao, na hakukuwa na fujo yoyote.
 
Lissu ana wake wengi mpaka wewe pia umeolewa na 2pac
 
Nadhani wamekubali risk kutokana na mapenzi yao kwa wanaeenda kumpokea.

Amandla...
Duh!

Hivi hii Corona kweli ni hatari kivile au?

Manake hata pale uwanja wa Uhuru bado naona watu wanaoenda kuuaga mwili wa Mkapa nao hawavai facial covering yoyote ile.

Si viongozi, si Askari, si raia wa kawaida!!!

Kama kweli corona ingekuwa ni hatari kivile, athari zake zisingefichika.

Hata Lissu naye nimeona kaishusha kabisa barakoa yake.
 
Serikali imefanya kitu cha maana sana kuwaacha hawa jamaa wakusanyike bila kuwasumbua. Ishu ni wadhamini wake wakimuona maana ndio wanaosumbuliwa mahakani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…