Wakati JNIA watu wakiwa kwenye shangwe kubwa

Huku upande wa pili hali iko hivi😭😭😭😭😭😭😭
 
Wamebana wameachia dadeki
 
Sina budi kulisifu jeshi la Polisi kwa kutambua wajibu wao wa kipolisi na kuwapa rraia utulivu wa kufanya shuhuli ya mapokezi kwa utulivu na amani.
Kufanya kwao hivi kutawaongezea imani wana nchi juu yao kuwa sasa wanaelewa wajibu wao.
Hongereni wana Chadema kwa kufanya mapokezi kistaarabu na heshima kubwa.
Hongera kwa mkuu wa Mkoa Mpya kwa kutochukuwa hatua kama Bashite aliyetenguliwa wiki mbili zilizopita.
Hongera Raisi Mag. kwa kuonesha ukomavu kiasi wa kisiasa na uvumilivu ,japo hali hii inakuuma moyoni lakini ndiyo ukubwa huo..
Hongera watanzania kwa kumtia moyo TUNDU lisu na kumjaza Furajha tele moyoni kwa jinsi mulivyo mpokea na kumkaribisha Nyumbani.
Pole sana Tundu Lisu kwa kuwa yajayo ni Makubwa zaidi na Yanayofurahisha ,lakini si mepesi kama uji wa mgonjwa .
Jipange kwa kuyakabili yajayo.
Pole Mzee mbowe ,hali yako inaonesha kutengamaa lakini bado si shwari.
Mungu awe pamoja nanyi na awaongoze kwenye nia Iliyo Nyooka.
Kila la heri Kutoka kwa
Mimi na Familia yangu,
Watoto wangu wame furahi sana kuona Ungali una tweta
 
Yaani vyombo vyote ambavyo ni viko kwa pesa sio wananchi Leo ni kama Lissu hajaja. Lakini wananchi an vijana wanajua ukweli. Tushukuru kuwa na mitandao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…