Wapo kwa mganga wa kienyeji na cyprian Musiba wamemtoa kafara mzee wa watu wakizani itazima ujio wa Tundu lisuNa sasa kawa mzururaji
Polisi ndio wanaoleta vurugu siku zote!Ni vizuri kama hakuna vurugu.
Hicho ndo wengi tulikihofia.
Hasira za nini sasa?Wengi walioenda kumpokea Airport ni malofa tu,siku ya kupiga kura hawatapiga watakuwa kwenye harakati za kuondoa ulofa ndiyo uzuri wa malofa.
Hawa ndiyo wanaoona kutimiza wajibu zao kwa familia ni kama favour.Kujenga terminal 3 sio favour kwa watz ni wajibu wao ambao waliomba kuufanya.
Nyie watu sijui mnadhani bado tupo enzi za ujima.
Bandugu.. fikiria nje ya kuboksi.. walibataka watendwe.. bameshushukaaaa.. bamepwaya.. kama bamemwagiwa.. maji kumoto.. [emoji2][emoji2][emoji2]
Magufuli 2020
Yeah polisi wakiacha upuuzi wao wanaweza tengeneza asaliNimependa jinsi mamlaka zilivyopuuza hii tukio.hinafsi ni mpinzani wa polisi kujishughulisha na kila upuuzi.
Mengine mnaacha yanapita kama hivi,halafu watu wanabaki wamesimama,wasijue wanashika shughuli ipi baada ya kick kubuma.
Wamebana wameachia dadeki
hahahha vipi watu wamejitokeza kumpokea Lissu au Lissu hana wafuasi tena??
Na nyie jazeni wa kwenu muwapeleke taifa,kəngə maji weweNaona Chadema wamewajaza ndugu zao kwenye magari ya M4C na kuwapeleka Airport.
Zile kura milioni sita walipiga hao hao malofa malofa wana muda mwingi sana kuliko ma boss na ndio wapiga kura,Wengi walioenda kumpokea Airport ni malofa tu,siku ya kupiga kura hawatapiga watakuwa kwenye harakati za kuondoa ulofa ndiyo uzuri wa malofa.
Hiyo nyomi haifiki hata idadi 0.00000001 ya watz waliopo wilaya ya ilala pekee yake.Yaani vyombo vyote ambavyo ni viko kwa pesa sio wananchi Leo ni kama Lissu hajaja. Lakini wananchi an vijana wanajua ukweli. Tushukuru kuwa na mitandao.
Mimi kwangu ni full burudani na wanangu wa Pemba. Toka juzi ni kunywa na kuchoma nyamaWakati JNIA watu wakiwa kwenye shangwe kubwa View attachment 1518511
Huku upande wa pili hali iko hivi😭😭😭😭😭😭😭
View attachment 1518512
Kichwani mmejaza maviNaona Chadema wamewajaza ndugu zao kwenye magari ya M4C na kuwapeleka Airport.
Ndio mnataka hiki? Hampewi kiki mkuu. Pambaneni wenyewe...Leo mabomu lazma yapigwe...
Hapo ni kibaya chajitembeza na kizuri chajiuza tena bila matangazoCCM huwa ndiyo hukodi watu kwenda popote, chadema watu hujitokeza wenyewe
Mbogamboga kama mmechanganyikiwa leo,mume karudi andaeni washeli...Hahaaaa ufipa mna vitukoo[emoji28][emoji28]
Umeona mapokezi lkn