Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Hapo wamepeana kazi kila mtu aje na ndugu zake.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Baada ya mumeo Bashite kufurushwa toka dsm naona unawaya waya tu
Bandugu.. fikiria nje ya kuboksi.. walibataka watendwe.. bameshushukaaaa.. bamepwaya.. kama bamemwagiwa.. maji kumoto.. [emoji2][emoji2][emoji2]

Magufuli 2020
 
Yaani vyombo vyote ambavyo ni viko kwa pesa sio wananchi Leo ni kama Lissu hajaja. Lakini wananchi an vijana wanajua ukweli. Tushukuru kuwa na mitandao.
Hiyo nyomi haifiki hata idadi 0.00000001 ya watz waliopo wilaya ya ilala pekee yake.

Bado alistahili mapokezi makubwa zaidi ya haya.kama tu chadema wangekuwa smart zaidi.
 
Umeona mapokezi lkn

Nimeona.. yaani leo utalii wenu kuona uwanja mupya.. kumekucha.. mununue vitu hata maji..muchangie mapato kunchi yetu pendwa..

Leo mumebaki mataa.. musifanye kufujo.. muondoke mulivyofika hapo.. 😃😃😃
 
Back
Top Bottom