mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,040
- 2,428
Utapakatwa mtoto wa kiumeHapo wamepeana kazi kila mtu aje na ndugu zake.
Corona itawamaliza hao kabla hata ya uchaguziπ€£
Unamjua Robert Amsterdam wewe? Wangejaribu kufanya ujinga wao waone kilimchomtoa Gadafi madarakani.Serikali imefanya kitu cha maana sana kuwaacha hawa jamaa wakusanyike bila kuwasumbua. Ishu ni wadhamini wake wakimuona maana ndio wanaosumbuliwa mahakani...
Leo ni siku ya kazi tena katika ya mchana watu ni wengi sana kuliko wanao rushwa live tuliopo viunga vya karibu tunaona hali halisiHiyo nyomi haifiki hata idadi 0.00000001 ya watz waliopo wilaya ya ilala pekee yake.
Bado alistahili mapokezi makubwa zaidi ya haya.kama tu chadema wangekuwa smart zaidi.
una boa ujueBandugu.. fikiria nje ya kuboksi.. walibataka watendwe.. bameshushukaaaa.. bamepwaya.. kama bamemwagiwa.. maji kumoto.. [emoji2][emoji2][emoji2]
Magufuli 2020
hivi sio nyie mliosema tukija airport tutavunjwa miguu???
Wakuandaa washeli ni wake zake walioko airport muda huu.Mbogamboga kama mmechanganyikiwa leo,mume karudi andaeni washeli...
Nimetoka na msafara airport,siwezi sifia unafiki.Leo ni siku ya kazi tena katika ya mchana watu ni wengi sana kuliko wanao rushwa live tuliopo viunga vya karibu tunaona hali halisi
Hongera sana mkuu kwa kutupatia comment iliyo jaa sana busara.Sina budi kulisifu jeshi la Polisi kwa kutambua wajibu wao wa kipolisi na kuwapa rraia utulivu wa kufanya shuhuli ya mapokezi kwa utulivu na amani.
Kufanya kwao hivi kutawaongezea imani wana nchi juu yao kuwa sasa wanaelewa wajibu wao.
Hongereni wana Chadema kwa kufanya mapokezi kistaarabu na heshima kubwa.
Hongera kwa mkuu wa Mkoa Mpya kwa kutochukuwa hatua kama Bashite aliyetenguliwa wiki mbili zilizopita.
Hongera Raisi Mag. kwa kuonesha ukomavu kiasi wa kisiasa na uvumilivu ,japo hali hii inakuuma moyoni lakini ndiyo ukubwa huo..
Hongera watanzania kwa kumtia moyo TUNDU lisu na kumjaza Furajha tele moyoni kwa jinsi mulivyo mpokea na kumkaribisha Nyumbani.
Pole sana Tundu Lisu kwa kuwa yajayo ni Makubwa zaidi na Yanayofurahisha ,lakini si mepesi kama uji wa mgonjwa .
Jipange kwa kuyakabili yajayo.
Pole Mzee mbowe ,hali yako inaonesha kutengamaa lakini bado si shwari.
Mungu awe pamoja nanyi na awaongoze kwenye nia Iliyo Nyooka.
Kila la heri Kutoka kwa
Mimi na Familia yangu,
Watoto wangu wame furahi sana kuona Ungali una tweta
Nina furaha sana leo,Allah akbar
Duuuu wanachama wa CCM utawajua tu,ZERO BRAIN
Mumebuma sana kila sababu mtaitoa leo kwasbabu mliodhani sio mliofikiria.Polisi wamewapuuza, mjichape bakora wenyewe sasa na mjipeleke central wenyewe. Hapewi kiki mtu yeyote hapa..mlitegemea polisi wanase ktk mtego wenu, imebumaaaaa....nna tumeamua lisu hashikwi ila wadhamini wake ndio watamgombania kama mpira wa kona..
Ndio mjue polisi walivyokuwa wastaarabu na walivyovumilia kuna abiria wanaweza kosa ndege zao leo watu hawana ustaarabu kabisa njia zote wanapita wao awajali shughuli za wengine; uwanjani wamejazana sijui ata abiria wengine waliingilia wapi.
Unaweza elewa furaha ya wana CDM lakini wajifunze ustaarabu kuna maisha ya wengine nje ya excitement zao hapo sasa wakitawanywa si watasema wanaonewa wakati clearly kuna breach of peace.
Huu uwanja ni wetu sote,umejengwa kwa kodi zetu sote, sasa tufanye fujo za nini.Nimeona.. yaani leo utalii wenu kuona uwanja mupya.. kumekucha.. mununue vitu hata maji..muchangie mapato kunchi yetu pendwa..
Leo mumebaki mataa.. musifanye kufujo.. muondoke mulivyofika hapo.. πππ
Mkuu Usiufananishe huu uzi na ule wa marehemu lofaKasi ya huu Uzi inazidi hata ya ule WA uwanja WA Uhuru.
Hii inaitwa mchawi mpe mwanao akulelee.Ndio mjue polisi walivyokuwa wastaarabu na walivyovumilia kuna abiria wanaweza kosa ndege zao leo watu hawana ustaarabu kabisa njia zote wanapita wao awajali shughuli za wengine; uwanjani wamejazana sijui ata abiria wengine waliingilia wapi.
Unaweza elewa furaha ya wana CDM lakini wajifunze ustaarabu kuna maisha ya wengine nje ya excitement zao hapo sasa wakitawanywa si watasema wanaonewa wakati clearly kuna breach of peace.
[emoji23][emoji23][emoji23] unatia huruma,njoo geto nikutoe wenge....Corona itawamaliza hao kabla hata ya uchaguzi[emoji1787]