Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Bandugu.. fikiria nje ya kuboksi.. walibataka watendwe.. bameshushukaaaa.. bamepwaya.. kama bamemwagiwa.. maji kumoto.. [emoji2][emoji2][emoji2]

Magufuli 2020
una boa ujue
mwenyew una jiona mjana mwenyew kuandika huu ushubwada wako apa
 
Ndio mjue polisi walivyokuwa wastaarabu na walivyovumilia kuna abiria wanaweza kosa ndege zao leo watu hawana ustaarabu kabisa njia zote wanapita wao awajali shughuli za wengine; uwanjani wamejazana sijui ata abiria wengine waliingilia wapi.

Unaweza elewa furaha ya wana CDM lakini wajifunze ustaarabu kuna maisha ya wengine nje ya excitement zao hapo sasa wakitawanywa si watasema wanaonewa wakati clearly kuna breach of peace.
 
Sina budi kulisifu jeshi la Polisi kwa kutambua wajibu wao wa kipolisi na kuwapa rraia utulivu wa kufanya shuhuli ya mapokezi kwa utulivu na amani.
Kufanya kwao hivi kutawaongezea imani wana nchi juu yao kuwa sasa wanaelewa wajibu wao.
Hongereni wana Chadema kwa kufanya mapokezi kistaarabu na heshima kubwa.
Hongera kwa mkuu wa Mkoa Mpya kwa kutochukuwa hatua kama Bashite aliyetenguliwa wiki mbili zilizopita.
Hongera Raisi Mag. kwa kuonesha ukomavu kiasi wa kisiasa na uvumilivu ,japo hali hii inakuuma moyoni lakini ndiyo ukubwa huo..
Hongera watanzania kwa kumtia moyo TUNDU lisu na kumjaza Furajha tele moyoni kwa jinsi mulivyo mpokea na kumkaribisha Nyumbani.
Pole sana Tundu Lisu kwa kuwa yajayo ni Makubwa zaidi na Yanayofurahisha ,lakini si mepesi kama uji wa mgonjwa .
Jipange kwa kuyakabili yajayo.
Pole Mzee mbowe ,hali yako inaonesha kutengamaa lakini bado si shwari.
Mungu awe pamoja nanyi na awaongoze kwenye nia Iliyo Nyooka.
Kila la heri Kutoka kwa
Mimi na Familia yangu,
Watoto wangu wame furahi sana kuona Ungali una tweta
Hongera sana mkuu kwa kutupatia comment iliyo jaa sana busara.
 
Polisi wamewapuuza, mjichape bakora wenyewe sasa na mjipeleke central wenyewe. Hapewi kiki mtu yeyote hapa..mlitegemea polisi wanase ktk mtego wenu, imebumaaaaa....nna tumeamua lisu hashikwi ila wadhamini wake ndio watamgombania kama mpira wa kona..
Mumebuma sana kila sababu mtaitoa leo kwasbabu mliodhani sio mliofikiria.
 
Acha uzembe.. hawaja piga wala kuvunja meza ya mtu.
Ndio mjue polisi walivyokuwa wastaarabu na walivyovumilia kuna abiria wanaweza kosa ndege zao leo watu hawana ustaarabu kabisa njia zote wanapita wao awajali shughuli za wengine; uwanjani wamejazana sijui ata abiria wengine waliingilia wapi.

Unaweza elewa furaha ya wana CDM lakini wajifunze ustaarabu kuna maisha ya wengine nje ya excitement zao hapo sasa wakitawanywa si watasema wanaonewa wakati clearly kuna breach of peace.
 
DAR ES SALAAM IMEZIZIMA
IMG_20200727_150156.jpg
 
Ndio mjue polisi walivyokuwa wastaarabu na walivyovumilia kuna abiria wanaweza kosa ndege zao leo watu hawana ustaarabu kabisa njia zote wanapita wao awajali shughuli za wengine; uwanjani wamejazana sijui ata abiria wengine waliingilia wapi.

Unaweza elewa furaha ya wana CDM lakini wajifunze ustaarabu kuna maisha ya wengine nje ya excitement zao hapo sasa wakitawanywa si watasema wanaonewa wakati clearly kuna breach of peace.
Hii inaitwa mchawi mpe mwanao akulelee.

Polisi,serikali leo nimewavulia kofia trick mliyocheza na hawa mabwana.
 
Back
Top Bottom