Hawa wanachadema pamoja na vitisho vyote vile amabvyo vimekua vikitolewa kuhusu mikusanyiko bado wamekuja kwa maelf kumpokea Lissu, Je kama kungefanyika uhamasishaji wa kumpokea ? Hakika Chadema ni mpango wa Mungu
 
Hakika hata ukiwa na moyo wa chuma lazima machozi yakutoke tu mkuu, hii hali hakuna wa kuidharau hata kidogo.

Hata hao ccm hii hali lazima iwape wasi wasi mkubwa.
Kwa watu hawa ni haki Mh. Mbowe na Lissu lazma walie maana bado watanzania wana imani na chadema...

Hongereni Chadema, CCM ina kazi nzito kuiondoa chadema Dar
 
CHADEMA hamna ruhusa ya maandamano hamuogopi kuvunja sheria ya kuandamana bila kibali cha polisi? 😂😂
 
Reactions: PNC
Jiwe anawapenda wangese kama wewe jipendekeze kwa huyo mla tigo wenu upate uteuzi. Ameshachoka tigo za makondakta zimelegea sana! mpelekee uungane na yule wa CCRN
Wewe si shoga yake Lissu bhana tunakujua na umejipeleka wa mbele ili upate fursa leo kwa vile yupo oya oya.
 
Asanteni Watanzania kutuwakilisha pande zote. Uwanja wa Uhuru na Airport.

Mbarikiwe sana yaani.

Asante sana Mh. sana Rais na Mwenyekiti wangu kwa kutoamuru polisi wakwamishe mapokezi ya Lissu na kauli yao pendwa ya "Inteligensia inaashiria kutakuwepo machafuko".

Asante sana Jeshi la polisi kwa utulivu mliouonesha leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…