Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha mataga tayari umeshapanic.Lisuu amuulize mzee LOWASAView attachment 1518521
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kesho nitaenda pale, hila siagi.Kwa taarifa yako watu wanatangaziwa waende uwanjani kuaga, ngoja mtu mwenye watu awapeleke hapo uwanjani.
sijui kama itapita ya kwangu🙏✌💪Nina furaha sana leo,Allah akbar
Magufuli hana mpinzani Tanzania kwa sasaKinachonisikitisha watu wengi hawakujiandikisha
Kwa watu hawa ni haki Mh. Mbowe na Lissu lazma walie maana bado watanzania wana imani na chadema...
Hongereni Chadema, CCM ina kazi nzito kuiondoa chadema Dar
sawa, ngoja tuone kama itawamaliza.Corona itawamaliza hao kabla hata ya uchaguzi🤣
Malofa kwa sauti ya Mkapa.Hasira za nini sasa?
Hatari sana hii.
Kasi ya huu Uzi inazidi hata ya ule WA uwanja WA Uhuru.
Unamjua Robert Amsterdam wewe? Wangejaribu kufanya ujinga wao waone kilimchomtoa Gadafi madarakani.
Wewe ni "Roving Journalst" kwelikweli!1357hrs: Abiria wameanza kutoka nje. Lissu bado hajaonekana
1430Hrs: Msafara unatoka Uwanja wa ndege kuelekea Makao Makuu Kinondoni mtaa wa Ufipa
Wewe si shoga yake Lissu bhana tunakujua na umejipeleka wa mbele ili upate fursa leo kwa vile yupo oya oya.Jiwe anawapenda wangese kama wewe jipendekeze kwa huyo mla tigo wenu upate uteuzi. Ameshachoka tigo za makondakta zimelegea sana! mpelekee uungane na yule wa CCRN
Unachekelea apo bashaa wako amerudiNonsense