Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Huuu ni mwanzo tu kabisa wa moto wa wana cdm
Viunga vya banana,airport,majumba sita,vingunguti biashara zimesimama!!watu wanangalia ukuu wa mungu risasai 30,..alipoteza damu 40% ya damu yake siyi kawaida !!na mueleqa mkuu kwa nini alikata mikutano ya kisasa !!shughuli haziendii kwa sasa
 
Nimeona.. yaani leo utalii wenu kuona uwanja mupya.. kumekucha.. mununue vitu hata maji..muchangie mapato kunchi yetu pendwa..

Leo mumebaki mataa.. musifanye kufujo.. muondoke mulivyofika hapo.. [emoji2][emoji2][emoji2]
Makonda oyeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii inaitwa mchawi mpe mwanao akulelee.

Polisi,serikali leo nimewavulia kofia trick mliyocheza na hawa mabwana.
Sidhani kama kuna trick yoyote mimi wala sio sehemu ya serikali ni CDM ndio waliokuwa wanajitekenya na kucheka wenyewe. Tatizo lao ata wangezuiwa ni kwa sababu sio wastaarabu kabisa, lakini polisi awawezi mpa kiki Lissu.

Kazi kwao sasa kati ya Lissu na Nyalandu nani anawafaa kwa Magufuli aijalishi siku ya siku ya ikifika ushindi wake ni zaidi ya 90%.
 
Unazidi kuwehuka kisa Bashite kukataliwa na wana dsm
Kuna siku mutatu.. mukwende ni Raisi wetu wote..
Kumbuka batu banapita banaondoka.. habakitangaza batu balale uwanjani.. [emoji2][emoji2][emoji2]

Leo munalia.. mumebashushuka.. [emoji2][emoji2][emoji2]
Awamu ya Tano ina tupa muhaki sana..
 
Mumekaa ba midomo buwazi.. munalia.. hakuna wapa kiki[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437]
Nakutamani wewe nikupige mbuzi kagoma kwenda,njoo in box basi tuyajenge maana kuna maisha baada ya siasa
 
Huku mtaani maisha yanaendelea kama kawaida. Hakuna mtu ana muda na msaliti wa taifa. Tunasikitika kumpoteza mzee wetu mpendwa Mkapa.
 
Kongole kwa mkuu mpya wa mkoa wa Dar es Salaam. Huyo sasa ni mtumishi wa umma na mpaka hatua hii ameshajitofautisha na machokoraa kama Makonda
Ccm wana akili sana wanajua kula na vipofu kama nyie!

Ukila na kipofu hutakiwi kumshika mkono
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom