Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Mara mia na kizuri zaidi ni kuwa wale mataga wameukimbia huu uzi
Leo usiku utalala nje uchi kama mchawi kwa furaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara mia na kizuri zaidi ni kuwa wale mataga wameukimbia huu uzi
Viunga vya banana,airport,majumba sita,vingunguti biashara zimesimama!!watu wanangalia ukuu wa mungu risasai 30,..alipoteza damu 40% ya damu yake siyi kawaida !!na mueleqa mkuu kwa nini alikata mikutano ya kisasa !!shughuli haziendii kwa sasa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mkuu pole sanaCHADEMA hamna ruhusa ya maandamano hamuogopi kuvunja sheria ya kuandamana bila kibali cha polisi? [emoji23][emoji23]
Makonda oyeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeona.. yaani leo utalii wenu kuona uwanja mupya.. kumekucha.. mununue vitu hata maji..muchangie mapato kunchi yetu pendwa..
Leo mumebaki mataa.. musifanye kufujo.. muondoke mulivyofika hapo.. [emoji2][emoji2][emoji2]
Andika vizuri we mama..afu wewe ndo Great Thinker wa ccm
Ha ha haaaaa
Hapo banasubiri atoke.. na imekatq ya sijui kunani.. hakuna kulive kabisa.. ruzuku kwa mifuko..
Leo wamefika waone.. Hapa kazi tu.. bapo banatalii.. picha na mapozi.. bizi kubizi..
Mumekaa ba midomo buwazi.. munalia.. hakuna wapa kiki[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437]
Sidhani kama kuna trick yoyote mimi wala sio sehemu ya serikali ni CDM ndio waliokuwa wanajitekenya na kucheka wenyewe. Tatizo lao ata wangezuiwa ni kwa sababu sio wastaarabu kabisa, lakini polisi awawezi mpa kiki Lissu.Hii inaitwa mchawi mpe mwanao akulelee.
Polisi,serikali leo nimewavulia kofia trick mliyocheza na hawa mabwana.
Mmebadilisha baada ya polisi kuwageuka? Jana ulikomenti nini humu?Ndio mnataka hiki? Hampewi kiki mkuu. Pambaneni wenyewe...
hahaha mataga tayari umeshapanic.
Kuna siku mutatu.. mukwende ni Raisi wetu wote..
Kumbuka batu banapita banaondoka.. habakitangaza batu balale uwanjani.. [emoji2][emoji2][emoji2]
Leo munalia.. mumebashushuka.. [emoji2][emoji2][emoji2]
Awamu ya Tano ina tupa muhaki sana..
We unatuzingua.
Unajaribu kujificha nyym ya kikongo
Maskini unatia huruma kwa kujibalaguza Kama kahaba aliyekosa helaBalisema benzako ba Chadrama..
Leo oyeeeeee[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nakutamani wewe nikupige mbuzi kagoma kwenda,njoo in box basi tuyajenge maana kuna maisha baada ya siasaMumekaa ba midomo buwazi.. munalia.. hakuna wapa kiki[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437]
Ndio mnataka hiki? Hampewi kiki mkuu. Pambaneni wenyewe...
Ccm wana akili sana wanajua kula na vipofu kama nyie!Kongole kwa mkuu mpya wa mkoa wa Dar es Salaam. Huyo sasa ni mtumishi wa umma na mpaka hatua hii ameshajitofautisha na machokoraa kama Makonda