Mbonasielewi? Aliyepigwa risasa ni Tundu au ni Mbowe? [emoji23][emoji23] Acheni nifurahi, siku ile nililia nikiwa kweny basi nikirejea home.
 
Upinzani ndio walikuwa wamaanimi corona ni hatari na hadi wakashinikiza ifanyuke lockdown, wakaenda mbali zaidi wabunge wao wakakacha bunge
We choko huo ndio uhalisia wa dunia km huamini waulize wale ng'ombe walienda Madagascar kufanya nn
 

Attachments

  • IMG-20200722-WA0044.jpg
    113.8 KB · Views: 1
  • IMG-20200722-WA0048.jpg
    56.8 KB · Views: 1
Kumbe zile vurugu zote hadi mtoto wa watu Akwilina akauawa ni Makonda! Mpumbavu sana. Ona leo watu tunafurahia demokrasia bila bughudha! Pamoja na Polisi kutoa jamba jamba tumeenda kwa kifua.
Bashite alikuwa na GENGE lake ambalo ndio wanaofanya utekaji ,ebu fikiria convoy lililovamia clouds na SMG ndio linalofanya fujo kwa upinzani.
 
Leo CHADEMA walijua watatikisa jiji kwa umati lakini hawaamini kilicho tokea, kati ya wakazi zaidi ya milioni 6 waishio jijini, wameambulia watu chini ya 1000 na wengi wao wakiwa ni viongozi toka mikoa mbalimbali.

Walijipanga sana huku wakisindikizwa na kelele za vyombo vya mabepari na chombo chao hiki cha JF (maana sikuhizi JF imekuwa sehemu yao) ila Watanzania wameonesha kuwa hawana mpango nao.

Nimeshuhudia Lissu akishangaa jengo lakisasa Terminal 3, ilibaki kidogo aseme CCM hoye, namsihi baada ya kukatwa na CHADEMA atembelee miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali hii kisha aende kisutu akiwa na dereva wake bila shuruti kujibu mashtaka yanayo mkabili.
cc
jingalao mng'ato na wazalendo wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…