Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Nimeona, wamejitahidiMbona watu wengi nilikuwa nafatilia BBC swahli sema wamekatika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona, wamejitahidiMbona watu wengi nilikuwa nafatilia BBC swahli sema wamekatika
Sio machozi ni Hasira.mataga kuna donge limekukaba kwenye koo unajikaza lakini machozi yana kulenga-lenga 🤣 🤣 🤣
"Amri toka juu" huwa inawapagawisha.... hasa wale wanaoogopa kupangiwa kazi nyingine.
Nyani Ngabu una maoni gani leo?Poleni kwa misiba. Nimefurahi pia kusikia hamjaathirika na hiyo Corona!
Pengine na kuuwa!leo Bashite angekuwa kazini angekua tayari ameshawagiza polisi wavuruge mapokezi.
Mimi nimepokea mzima unanipa pole ya nini? Wewe pole kwa kuwa umefiwa na kada maarufu.
Amri alikuwa anapewa na Makonda. Huyu RC mpya kwanza siyo mtu wa kujionyesha misifa mimi nimeanza kumpatia creditsSiamini kama huyu huyu RPC Mambosasa leo hii ametembelewa na Roho Mtakaifu na kuwa Mstaarabu na Muungwana hivi japo najua ni Kinafiki tu.
We choko huo ndio uhalisia wa dunia km huamini waulize wale ng'ombe walienda Madagascar kufanya nnUpinzani ndio walikuwa wamaanimi corona ni hatari na hadi wakashinikiza ifanyuke lockdown, wakaenda mbali zaidi wabunge wao wakakacha bunge
Kwani bado kuna Covid Tanzania ...... humuamini Rais ama!!?Duh vijana naona wameamua kujitoa mhanga, hawaogopi covid
Robert Amsterdam and Patners LLP.Mamlaka imeshaogopa Kufanya Umafia wake kwakuwa kuna Tukio Kubwa na Vyombo Vikubwa duniani sasa vinaangazia Tanzania na Hayati Wetu.
Kuhusu nini?Nyani Ngabu una maoni gani leo?
Bashite alikuwa na GENGE lake ambalo ndio wanaofanya utekaji ,ebu fikiria convoy lililovamia clouds na SMG ndio linalofanya fujo kwa upinzani.Kumbe zile vurugu zote hadi mtoto wa watu Akwilina akauawa ni Makonda! Mpumbavu sana. Ona leo watu tunafurahia demokrasia bila bughudha! Pamoja na Polisi kutoa jamba jamba tumeenda kwa kifua.
😅😅Ujio wa Mgombea wa Urais CHADEMA.Kuhusu nini?
Naona members wengi wa CCM wenzangu wameukimbia huu uzi😎😎😎
Tukio la Kifo cha Mkapa limeleta Wageni wengi Wakubwa na Vyombo vingi vya Habari vya Kimataifa vinaangazia Tanzania hivyo Wanaliogopa hilo.
Anajitolea halipwi
Huruma gani tusimpokee Mh?? Eti huruma. Mmh!Hii huruma chadema wanayoitafuta ni fedheha kwa kweli