Sauti ya Mamlaka
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,601
- 2,354
CCM leo mmepata aibu kubwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unafikiri tz nzima ni hako ka kikundi tu?
Kumbe ndio maana huwa mnasema mnakubalika kumbe akili zenu zimeishia hapo ufipa tu
Hebu tupia na kaphoto mkuu tuonr watu walivyokimbia msiba wakafata ufufuoMabasi na malori yamekodiwa kwenda kumuaga hayati lakini yamebaki wazi. Kiongozi wa malofa bora wangemuagia tu hapo Karimjee
Nadhani yatakuwa maagizo ya mkuu mpya wa mkoa wa Dsm.Siamini kama huyu huyu RPC Mambosasa leo hii ametembelewa na Roho Mtakaifu na kuwa Mstaarabu na Muungwana hivi japo najua ni Kinafiki tu.
ni maamuzi tu, ni kama wewe ambavyo ulisema hapa kuwa ukienda wash room unatumia tu tissue na hutaki maji.Ila kwa nini anapenda kunyoa kiduku?
Nadhani ndo maana ya kutoa taarifa mapema ili wahusika waweze kufanya plan mapema kwa usumbufu wowote unaoweza kujitokeza.Ndio mjue polisi walivyokuwa wastaarabu na walivyovumilia kuna abiria wanaweza kosa ndege zao leo watu hawana ustaarabu kabisa njia zote wanapita wao awajali shughuli za wengine; uwanjani wamejazana sijui ata abiria wengine waliingilia wapi.
Unaweza elewa furaha ya wana CDM lakini wajifunze ustaarabu kuna maisha ya wengine nje ya excitement zao hapo sasa wakitawanywa si watasema wanaonewa wakati clearly kuna breach of peace.
Civilized ndivo ufanya hivi, wanazidiwa hata na polisi wa Malawi,acha watu wadai haki zao wakimaliza wanarudi kwao wanalala kwwnn kupigana mabomu.Shida police wao hutekeleza amri kwa kushambulia raia kisa amri bila kupima madhara yake. Unaacha watu waandamanr Linda usalama usiku wakale ma kwao ndio kazi ya police hyo
Siyo yeye peke Yake hata YEHODAYA leo kawa mnyonge sana.Siku hizi naona akili zimeanza kumrudia
CCM bila police ni TLP kabisanawasalimu katika jina la Ed Kawiche
sijawahi kushuhudia kundi la watu wanafki km hawa ma'ccm! hivi inakuaje mikwara inakuwa mingi mpaka sasa tunawaona mmekuwa paka watu?
kelele za kusema mh Tundu akifika tu mnamkamata na ataisoma namba ziko wapi sasa?
mara mh Tundu ni msaliti wa taifa na haina budi kufa... mbona mmekuwa kimya hv?
leo nimeamini ni kundi la watu wachache (ccm) ndyo mnaotisha wananchi wa nchi takatifu na yenye amani Tanzania.
utaifa kwanza acheni kutuchimba mikwara watanzania tunaolitakia mema taifa letu teule Tanzania.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
leo kazi yenu ngumu sana, mlisema akirudi mtamkamata airport, mkatahadharisha tusije kumpokea, loh poleni sana n.g.u.r.u.we wa lumumbaVizuri karudi nyumbani.
Ila sijaona kama kavaa zile raba mtoni..
Hakika.Alichofanyiwa ndo kimemkuza,unajua mpango muovu ukishindwa huzaa jambo la maana na kubwa sana,huyu jamaa atabaki ktk mambo makubwa ya kukumbukwa kwa aliyopitia milele
Tundu Lisu aidhihirishia dunia kuwa atokako Ndio Kuna Corona Tanzania haina Corona kashuka kavaa Barakoa wanaompokea hawana Barakoa Asante Tundu Lisu kuitangaza Tanzania as a Corona free Country DunianiSiamini Kama ni ww
DAR ES SALAAM IMEZIZIMAView attachment 1518516
Leo mtahangaika sana kutengeneza mashairi yaendane na ngoma mnayopigiwa, habari ni kurejea kwa Lissu! Ni furaha kubwa sana kwa watanzania wengi na ni mwiba kwa mijitu isiyo na utu kama wewe!Leo CHADEMA walijua watatikisa jiji kwa umati lakini hawaamini kilicho tokea, kati ya wakazi zaidi ya milioni 6 waishio jijini, wameambulia watu chini ya 1000 na wengi wao wakiwa ni viongozi toka mikoa mbalimbali. Walijipanga sana huku wakisindikizwa na kelele za vyombo vya mabepari na chombo chao hiki cha JF (maana sikuhizi JF imekuwa sehemu yao) ila Watanzania wameonesha kuwa hawana mpango nao.
Nimeshuhudia Lissu akishangaa jengo lakisasa Terminal 3, ilibaki kidogo aseme CCM hoye, namsihi baada ya kukatwa na CHADEMA atembelee miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali hii kisha aende kisutu akiwa na dereva wake bila shuruti kujibu mashtaka yanayo mkabili.
cc
jingalao mng'ato na wazalendo wengine
Naona mumetafuta yakuongea ili mpate huruma sasa, mwana kulitafuta mwana kulipata...tusubiliane Octoba,2020 period.Ha ha ha ha ha Mwanzoni mwa Uzi Ma-CCM yametutisha sana tusiiende Mara hakuna watu Mara oooh nguvu ya mitandao tu .Sasa hivi yamekimbia
Only God can..........................................yaani kila nilikumbuka hii siku 7/9/2017 nilikua nimetoka darasan nikiwa kidato cha 6 nilikua nasikiliza kipnd cha Xxl kupitia Clouds fm ndipo mtangazaji bwana Bdozen alipotangaza kuwa kuna breaking newz ambayo ilikua ni Tundu Lissu kupigwa risasi na watu wasiojulikana akitoka bungeni mchana.
Dah kweli iliniuma na kunisikitisha sana lakn leo naona ukuu wa Mungu umetimia amerud akiwa mzima kweli alipangalo Mungu ndilo huwa.
God is great...[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1518595
[/QUOT]
Yule walipanga afe kwa risasi leo amerudi kwa tabasamu.
Vipi ulifurahi Lissu alipopigwa risasi? Na vipi akipigwa risasi Makonda utafurahi hivyo hivyo na kubeza mapokezi yake?Mapokezi ya mitandaoni.