Dominic Myumbilwa
Senior Member
- Jan 5, 2017
- 190
- 93
Poleni kwa misiba. Nimefurahi pia kusikia hamjaathirika na hiyo Corona!
Alilalamika hana Dstv..hivyo hana furaha.Dstv ni kigezo cha kocha wa Yanga
Na hizo risasi ndio kigezo cha kuongoza nchi, ama kuna lingine?Hadithi ya kupigwa risasi 38 bila kufa haiwezi kuichosha dunia ya leo wala itakayokuja.
Ni kama vile wana wa Israel walivyopita bahari ya Shamu kwa uwezo wa Mungu.
Jamani Sisi tulikuwa tunawapima tu kama mnampenda huyo mbeba maono wenu au kama mlikuwa mnajifanya makamanda wa mtandaoni tuHa ha ha ha ha Mwanzoni mwa Uzi Ma-CCM yametutisha sana tusiiende Mara hakuna watu Mara oooh nguvu ya mitandao tu .Sasa hivi yamekimbia
Hawa watu wote walitakiwa wawepo taifa msiba wa lofa lakini hawajali mnapita mitaani mnatangaza watu waende msibani hawajaliMkuu, LISU hana madhara kwa sasa. Tumeshamzingira kila kona. CHADEMA kwa sasa imeshapoteza mvuto wa kisiasa
Barakoa yake keshaitupa?Msafara unaendelea. Tupo MagomeniView attachment 1518642View attachment 1518643View attachment 1518644View attachment 1518645View attachment 1518646View attachment 1518647View attachment 1518648View attachment 1518649View attachment 1518650View attachment 1518651View attachment 1518652View attachment 1518653
baaasi usilie tulia sindano ikuingie taratibu.Hadithi ya kupigwa risasi 38 bila kufa haiwezi kuichosha dunia ya leo wala itakayokuja.
Ni kama vile wana wa Israel walivyopita bahari ya Shamu kwa uwezo wa Mungu.
Ni muda sasa wa yeye kujionea Magufuli is becoming somewhat a Saint kutokana na kazi.Bora amerudi ili tupumue
Ukimwi sio coronaAsante sana.
Ni kama vile ambavyo toka Ukimwi uingie hamna ndugu, rafiki au jirani yangu aliyefariki kwa Ukimwi. Kile aliyefariki, alifariki kwa Pneumonia, kisukari n.k. Siku hizi wanafariki kwa presha n.k.
Amandla...
kwani wewe mataga unatakaje?Barakoa yake keshaitupa?