Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Roses Are Red,
Sometimes They’re Blue,
Tough Times Never Last,
But Tough People Do.
#TunduLissuHomeComing
Ed7kpHAWsAAtoTx.jpg
 
Tundu Lissu Homecoming kama mtu atajaribu kumdhuru Tundu Lissu katika kipindi hiki, mtu huyo ajue na ajulikane kwamba ni muuaji na mhaini dhidi ya nchi yake ambaye anatakiwa kulaaniwa na kutangazwa kwa uovu wake hadi atambulike duniani kote. Tangazeni majina yao wajulikane kote!

Nchi ina amani pia ina tawalika vzr ila kwa tamaa zao ndio maana huingiza nchi zao kwenye matatizo vyama vingi vipo kisheria leo mna vibagua viongozi wake wana teswa wekwe jela wanainchi
 
Hadithi ya kupigwa risasi 38 bila kufa haiwezi kuichosha dunia ya leo wala itakayokuja.

Ni kama vile wana wa Israel walivyopita bahari ya Shamu kwa uwezo wa Mungu.
Na hizo risasi ndio kigezo cha kuongoza nchi, ama kuna lingine?
 
He deserve a win I can't imagine nyomi itakayomsindikiza kuchukua form NEC naimani by any means chadema itampitisha huyu Rastaman
 
Mkuu, LISU hana madhara kwa sasa. Tumeshamzingira kila kona. CHADEMA kwa sasa imeshapoteza mvuto wa kisiasa
Hawa watu wote walitakiwa wawepo taifa msiba wa lofa lakini hawajali mnapita mitaani mnatangaza watu waende msibani hawajali
 
Asante sana.
Ni kama vile ambavyo toka Ukimwi uingie hamna ndugu, rafiki au jirani yangu aliyefariki kwa Ukimwi. Kile aliyefariki, alifariki kwa Pneumonia, kisukari n.k. Siku hizi wanafariki kwa presha n.k.

Amandla...
Ukimwi sio corona
 
Back
Top Bottom