The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Mlifikiri Lumumba mtabaki humu peke yetu ili mpotoshe ...............!!?Mapokezi ya mitandaoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlifikiri Lumumba mtabaki humu peke yetu ili mpotoshe ...............!!?Mapokezi ya mitandaoni.
hapa kama umemind hivi.
Ingemuongezea CV Sana kipindi hichi maana huwezi ua mkizanzano wa mawazo maana hyo ingefanya uchaguzi uwe na amani kwa ajili ya nchi yetu.
Leo ccm wote wana hasira mithili ya mkizi.hapa kama umemind hivi.
Mtumishi za mida![emoji38][emoji38]View attachment 1518544
Walitakiwa 30 tuu mbona wamekuja wengi sanaLeo CHADEMA walijua watatikisa jiji kwa umati lakini hawaamini kilicho tokea, kati ya wakazi zaidi ya milioni 6 waishio jijini, wameambulia watu chini ya 1000 na wengi wao wakiwa ni viongozi toka mikoa mbalimbali.
Walijipanga sana huku wakisindikizwa na kelele za vyombo vya mabepari na chombo chao hiki cha JF (maana sikuhizi JF imekuwa sehemu yao) ila Watanzania wameonesha kuwa hawana mpango nao.
Nimeshuhudia Lissu akishangaa jengo lakisasa Terminal 3, ilibaki kidogo aseme CCM hoye, namsihi baada ya kukatwa na CHADEMA atembelee miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali hii kisha aende kisutu akiwa na dereva wake bila shuruti kujibu mashtaka yanayo mkabili.
cc
jingalao mng'ato na wazalendo wengine
Gari,WiFi na Dstv. Unavyo kama hauna jiogenze. Vigezo kama vya Luc kocha wa Yanga .Vigezo ninavyo. Ila nipe vigezo unavyo vihitaji ili twende sawa
Hii ni siku kubwa na kwa msingi huo nimeamua kuwapa uhuru wote niliowaweka kwenye ignore list yangu na sasa nimeweza tena kuzisoma posts zenu lakini duh! Hakika Mungu ni mkubwa, Mungu ni taa na penye mwanga giza ni marufuku...asante Mungu kwa kuangaza kwa mwanga mkali ndani ya taifa letu na kusababisha shetani na wafuasi wake kuumbuka na kuanza kutafuta pa kuficha nyuso zao.
Endeleeeni kumpokea mtandaoniWachache sana. Ulitaka waende wengi kwani huko kuna sanduku la Kura?
Huu ni ujumbe kama tuna tume huru Mwamba anachapa mapema tu saa 4 asubuhi
Lissu kwa nguvu ya Mungu aliyempa kibali cha kutumia nguvu ya umma anaenda kuifanya tume hii hii kuwa huru . Amini NakwambiaKwa tume huru hili liko wazi kabisa, bt bila uwepo wa tume huru ni ngumu sana.
Tundu Lissu anapendwa na vyombo vyote vya Dola ni vile tu hawajiweki wazi. Vyombo vya dola vinajua maamuzi ya Jpm hayana tija kwa taifa.Nabii Lissu ana maono ambayo wengine wote hawaoni... aliona viashiria vyote vya udikteta akasema huyu jamaa ni dikteta uchwara......
Bahati mbaya sn anarudi huku jamaa akiwa dikteta kamili kuanzia kwenye chama chake mpaka kwenye mihimili yote ya dola imewekwa kiganjani mwake......
TUNDU Lissu ndiye pekee wa kurejesha misingi imara ya taifa. Aanze na kufumgua kesi ya kikatiba kufutwa kwa maamuzi ya kuruhusu baadhi ya watz kupewa ruhusa kisheria kuvunja katiba ya nchi bila kushitakiwa....
Mlisema hivyo hivyo. Ooh mko nyuma ya Keyboar! Leo mmebaki midomo waziEndeleeeni kumpokea mtandaoni
Unapigwa sound live!Gari,WiFi na Dstv. Unavyo kama hauna jiogenze. Vigezo kama vya Luc kocha wa Yanga .
Dah hilo jina linanikumbusha jamaa moja nilisoma nae wakuitwa ochiengKwetu Ikungulyabashashi. Siyo mamtoni
Hata nyati hapigwi Risasi 30. Mbili au Tatu tu chali. Ni upotevu wa risasi kuua nyati mmoja kwa risasi 30.Nyie watu embu acheni masihara, mtu uliyemmiminia risasi 38 za kuulia nyati na kudhani umemuuwa halafu siku unakutana nae ni mzima wa afya , inahitaji ujasiri wa ziada kupanga tukio kama hilo kumdhuru
Hata aliyefyatua zile risasi sidhani kama bado tupo nae duniani