Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
ulimjaza mimba yako? na wewe alikujaza nani?Baada ya Kukujaza Mimba yangu.
salamu kwa dictator uchwara akeeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulimjaza mimba yako? na wewe alikujaza nani?Baada ya Kukujaza Mimba yangu.
amekupaka wese sioMachozi ya furaha yananitoka
Tunataka report ya uchunguzi sio kujitetea kwenye mitandao,Watanzania huwa ushabiki mwingi tu ka wa Simba na Yanga watu wakitoka wanatulia majumbani, nidhamu ka hii imgetumika hivi ungekuta Tundu lissu hajapigwa risasi nyingi na image ya nchi isinge chafuka hvo Hadi kukosa misaada kizembe, itakuwa tu ni wahuni wachache wasio wazoefu walipanga Hilo shambulio la ajabu kwa nchi yetu
Kama corona kasalimu amri kwa Magufuli huyo mvaa raba mtoni ndo atamweza?salamu kwa dictator uchwara akeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ooooooooooooooooyooooooooooooooooooo
Kwetu Ikungulyabashashi. Siyo mamtoniSasa mimi mwanaume napataje Mimba au ndio mambo yenu huko mamtoni??
Ukiangalia ule umati wa watu unajiuliza ikiwa barua za kuomba kibali zingekubaliwa Daresalam leo ingekuwaje.!Kumbe mnajua kuwa hawezi eeh?
Bow down bitches [emoji1787][emoji1787]
Jinsi kulivokuwa na danadana nyingi sidhani ka hyo report itatoka labda Waite wataalamu kutoka nje ya TzaniaTunataka report ya uchunguzi sio kujitetea kwenye mitandao,
Leo imekuwa corona? Mnarukaruka kama miguu ya chura kwenye frying pan! Na bado!Kama corona kasalimu amri kwa Magufuli huyo mvaa raba mtoni ndo atamweza?
We nishamla dadako Manka. Kuwa na adabu.Leo imekuwa corona? Mnahangaika kama miguu ya chura kwenye frying pan!
Uwepo wa Boda boda wengi ni kiashiria tosha kuaUkiangalia ule umati wa watu unajiuliza ikiwa barua za kuomba kibali zingekubaliwa Daresalam leo ingekuwaje.!
Ni wengi hawajafika kumpokea lissu kutokana na uoga wao.
Kinachosikitisha ni kuwa kumbe ni watanzania wengi sana wanaugulia maumivu moyoni.
Tulizoea kusema wanaoumia ni wale waliokuwa mafisadi enzi zile, lakini umri ulioonekana kwenye video mbalimbali za mapokezi ya lissu ni umri wa vijana ambao nadhani wengi wao hata hawajawahi kuwa kwenye ajira rasmi.- hii ni moja ya ajenda inayotakiwa kupewa kipaumbele na uongozi wa vyama vyote.
Sio tatizo lake, tatizo kichwani kuna MaviKati ya intelijensia zote tatu hii ya mamlaka za nchi ndio inaangaliwa kwa karibu mno kwakuwa chochote itakachokifanya kitaonwa na kusikika kimataifa. Hapa ndio panahitajika kuwa na washauri wenye weledi mkubwa na hekima ya kuamua mambo ya kitaifa
Nu vema intelijensia hii ikazishauri mamlaka ziruhusu mapokezi bila fujo na bila kutunishiana misuli, watakuwa wamefanya jambo moja kubwa sana.View attachment 1518610
Jr[emoji769]
Mbona kumuaga Mkapa uwanja wa Uhuru kuna watu wanavaa barakoa na wao wemetoka Belgium 🇧🇪Mkuu Lisu alilishwa matango pori kuwa Tanzania Kuna Corona ya kufa mtu kashuka kavaa barakoa anashangaa wanaompokea hawajui hata Corona ni nini?
Tanzania we are zero corona message iwafikie CNN, BBC, Aluazeera, DW etc ushahidi Lisu na Barakoa lake na waliompokea wasio na barakoa
Huyu musiba ndio maana wajumbe walimkata anataka kuwa kiongozi huku Hana uvumilivu wa different opinions?Kati ya intelijensia zote tatu hii ya mamlaka za nchi ndio inaangaliwa kwa karibu mno kwakuwa chochote itakachokifanya kitaonwa na kusikika kimataifa. Hapa ndio panahitajika kuwa na washauri wenye weledi mkubwa na hekima ya kuamua mambo ya kitaifa
Nu vema intelijensia hii ikazishauri mamlaka ziruhusu mapokezi bila fujo na bila kutunishiana misuli, watakuwa wamefanya jambo moja kubwa sana.View attachment 1518610
Jr[emoji769]
Naona kwa huruma unajifariji baada ya kushtushwa isivyo kawaida na mapokezi ya Lissu.Hahahaaaaa
Magufuli oyeeeee
Mbele ya Magufuli hata corona imecheua.
huku watu wanakufa kwa corona wanapachikwa ugonjwa mwingine, mala utasikia moyo.........Hahahaaa hawajielewi hao.
Mara wajifungie ndani wakiogopa corona, leo wako nje hata barakoa hawajavaa
Jipe moyo tu!Naona kwa huruma unajifariji baada ya kushtushwa isivyo kawaida na mapokezi ya Lissu.
Polee sana kijana. Mwisho wenu ndo umekaribia, uliacha ukweli ukafuta ukabila sasa kwa taarifa yako leo mlichokiona ni kidogo sana, October yaliyotokea Malawi yanaenda kutokea Tanzania.