Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,374
- 6,857
Lissu Ulaya alivaa barakoa, kaja bongo kaitupilia huko..Mbona hamna tusi hapo we kamanda!
Yaani nikibadili lugha kidogo tu nakupoteza kiasi hicho?
Typical kamanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu Ulaya alivaa barakoa, kaja bongo kaitupilia huko..Mbona hamna tusi hapo we kamanda!
Yaani nikibadili lugha kidogo tu nakupoteza kiasi hicho?
Typical kamanda.
Na hii imewekwa kwenye Rekodi za kimataifa.Polisi wangefanya hivi 3 yrs ago
Akwilina angekuwa hai leo
.
.
.
.
Inaonekana polisi wa Tz ndio waanzisha fujo na wavunja amani kwenye shughuli za kisiasa nchi hii.
Sent from my G-PADLITE using JamiiForums mobile app
Mkuu Lisu alilishwa matango pori kuwa Tanzania Kuna Corona ya kufa mtu kashuka kavaa barakoa anashangaa wanaompokea hawajui hata Corona Ni Nini?
Tanzania we are zero corona message iwafikie CNN,BBC, Aluazeera,DW etc ushahidi Lisu na Barakoa lake na waliompokea wasio na barakoa
Umeshabadili gear anganiMkuu Lisu alilishwa matango pori kuwa Tanzania Kuna Corona ya kufa mtu kashuka kavaa barakoa anashangaa wanaompokea hawajui hata Corona Ni Nini?
Tanzania we are zero corona message iwafikie CNN, BBC, Aluazeera, DW etc ushahidi Lisu na Barakoa lake na waliompokea wasio na barakoa
Hahahaa. Unaona sasa matusi yako!Angalia hizo furaha zako zisije kukusababishia uibebe wewe hiyo mimba.
HahahaaaaaLissu Ulaya alivaa barakoa, kaja bongo kaitupilia huko..
leo mnakoment kiunyonge sana,najua mnatamani kuungana na watanzania kusherehekea ujio wa THE GREAT,Mimi siyo polisi. Sikamatagi makamanda.
Kumbe ukiamua kuwa fair unaweza eeh?Namtakia Lisu usingizi mwema akisubiri kura za Nani wa kupeperusha bendera ya uraisi Chadema Kati yake na wagombea wengine
Nimeiona Demokrasia kamati kuu chadema Nina imani na baraza kuu watawapa Haki yao Lisu na Nyalandu na yule mama na Baada ya kura asiwepo w kupiga yowe Ohhh Mimi nimeonewa
Chadema nawakubali kwenye kura za mgombea Uraisi mko fair pamoja na kuwa siipendi Chadema mumeiachia demokrasia ichukue mkondo wake kamati kuu mkiiga CCM chama changu huko Kwingine naamini mtaachia demokrasia ifanye kazi
Juha haelimishwiUkiwa nje ya nchi na ukipanda flight kuvaa barakoa ni Jambo la lazima hutaki Baki hata mashirika ya nje bila barakoa huiingii nayo ofisini.
Hahahaaa hawajielewi hao.
Mara wajifungie ndani wakiogopa corona, leo wako nje hata barakoa hawajavaa
Dah!Hahahaa. Unaona sasa matusi yako!
hapa kama umemind hivi.Baada ya Kukujaza Mimba yangu.
Naongelea ukishatua kwenye Nchi Corona free country Lisu kashuka na barakoa anaonekana kituko tu wanaompokea hawana Barakoa yeye kakomaa na barakoa vyombo vyote vya kimataifa katusaidia kuwatangazia kuwa Tanzania is a Corona free CountryUkiwa nje ya nchi na ukipanda flight kuvaa barakoa ni Jambo la lazima hutaki Baki hata mashirika ya nje bila barakoa huiingii nayo ofisini.
Sijui maana sijawahi kuionaCorona ipo Tanzania au haipo?
salamu kwa dictator uchwara akeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ooooooooooooooooyoooooooooooooooooooHahahaaaaa
Magufuli oyeeeee
Mbele ya Magufuli hata corona imecheua.
Mkaribisheni badala ya kumbeza.Umeshabadili gear angani
Jr[emoji769]
Story hiyo hiyo kila siku we get it; vipi mambo ya budget deficit, uchumi, dawa, matibabu, elimu, umeme, miundombinu etc.Usichokipenda lazima kikuchoshe