Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Mkuu Lisu alilishwa matango pori kuwa Tanzania Kuna Corona ya kufa mtu kashuka kavaa barakoa anashangaa wanaompokea hawajui hata Corona Ni Nini?

Tanzania we are zero corona message iwafikie CNN,BBC, Aluazeera,DW etc ushahidi Lisu na Barakoa lake na waliompokea wasio na barakoa

Mshukuru Mungu tuko salama, huu ugonjwa sio wakuletea mzaha na kujifanya wajuaji...watu wanahaha, dunia inahangaika na maelfu ya watu wamepotea...Hizi kauli sio nzuri kuna siku tunaweza kupata janga kama Taifa halafu dunia ikatuangalia tu tupambane nalo...
 
Mkuu Lisu alilishwa matango pori kuwa Tanzania Kuna Corona ya kufa mtu kashuka kavaa barakoa anashangaa wanaompokea hawajui hata Corona Ni Nini?

Tanzania we are zero corona message iwafikie CNN, BBC, Aluazeera, DW etc ushahidi Lisu na Barakoa lake na waliompokea wasio na barakoa
Umeshabadili gear angani

Jr[emoji769]
 
Namtakia Lisu usingizi mwema akisubiri kura za Nani wa kupeperusha bendera ya uraisi Chadema Kati yake na wagombea wengine

Nimeiona Demokrasia kamati kuu chadema Nina imani na baraza kuu watawapa Haki yao Lisu na Nyalandu na yule mama na Baada ya kura asiwepo w kupiga yowe Ohhh Mimi nimeonewa

Chadema nawakubali kwenye kura za mgombea Uraisi mko fair pamoja na kuwa siipendi Chadema mumeiachia demokrasia ichukue mkondo wake kamati kuu mkiiga CCM chama changu huko Kwingine naamini mtaachia demokrasia ifanye kazi
Kumbe ukiamua kuwa fair unaweza eeh?
Hongera.
 
Ukiwa nje ya nchi na ukipanda flight kuvaa barakoa ni Jambo la lazima hutaki Baki hata mashirika ya nje bila barakoa huiingii nayo ofisini.
Naongelea ukishatua kwenye Nchi Corona free country Lisu kashuka na barakoa anaonekana kituko tu wanaompokea hawana Barakoa yeye kakomaa na barakoa vyombo vyote vya kimataifa katusaidia kuwatangazia kuwa Tanzania is a Corona free Country
 
Kati ya intelijensia zote tatu hii ya mamlaka za nchi ndio inaangaliwa kwa karibu mno kwakuwa chochote itakachokifanya kitaonwa na kusikika kimataifa. Hapa ndio panahitajika kuwa na washauri wenye weledi mkubwa na hekima ya kuamua mambo ya kitaifa
Nu vema intelijensia hii ikazishauri mamlaka ziruhusu mapokezi bila fujo na bila kutunishiana misuli, watakuwa wamefanya jambo moja kubwa sana.
IMG-20200727-WA0041.jpg


Jr[emoji769]
 
Usichokipenda lazima kikuchoshe
Story hiyo hiyo kila siku we get it; vipi mambo ya budget deficit, uchumi, dawa, matibabu, elimu, umeme, miundombinu etc.

Hata hao ACCACIA wake washaingia mitini sasa story yake itabaki risasi 16 tu kama tumemsikia mara ya kwanza tukaelewa, majanga yaliyomkuta na tukasikitika nae; basi tushamsikia mara zote hadithi yake inaanza kuchosha what next.
 
Back
Top Bottom