Ondoa muwasho wako hapa Lisu hakuhusu wewe mla matembele
 
Ukimwi umeua ndugu zangu wa karibu kabisa kuanzia mwaka 1992.

Na hata sasa ninao ambao ni waathirika.

Kuna mmoja ni mwathirika tokea 1988! Miaka 32 sasa.

Kuna wanachama wengi tu wa JF ambao walikuwa hawajazaliwa hiyo 88....

Pole sana Mkuu.
Swali langu ni je wakati wanazikwa, wakati wa kutoa historia fupi ya marehemu, umma uliambiwa kuwa kafa kwa Ukimwi? Au ilitumiwa euphemism ili kuepuka kutaja neno Ukimwi?
Hata mimi nimefiwa na wengi tu kutokana na Ukimwi. Na wote tulijua kuwa marehemu ni muathirika lakini makaburini tulikuwa tunaambiwa amekufa kwa pneumonia, presha au matatizo ya afya ya muda mrefu. Never Ukimwi. Ndio hivyo hivyo na hii Corona.

Amandla...
 
Toka saa 6 maelfu tulikuwepo JKNIA Ila hadi sasa tupo UFIPA na tumetembea kwa mguu huko njiani full shangwe na hatujachoka hakika huyu ni mbeba maono
 
Tuacheni masikhara TUNDU LISSU ANAPENDWA KUPITA MAELEZO
Hakika! Anapendwa haswa haswa mpaka jiwe linaona wivu!

Hakukuwa na uhamasishaji wowote badala yake kulikuwa na matishio kutoka polifisiem juu ya kuthubutu kusogelea eneo la JNIA lakini matokeo yake imetokea crowd kubwa sana!

Viva Lissu, viva mkombozi, Mungu mbariki Lissu, bariki wafuasi wake, ibariki Tz
 
Reactions: PNC
Hizo ndio akili zenu

Wazazi sasa hivi wanajivunia sio tu hakuna hada shule zinajengwa na kukaratibiwa nchi nzima.

Unaambiwa sasa hivi vimemo aviishi wizarani wazazi waliokuwa wanaona private dili sekondari leo wanapigania watoto zao waende shule Kongwe.

Huu mtiti sasa umeshuka primary hakuna mtoto kukaa chini wala madarasa kujazana.

Hakina Mbowe et al waliokuwepo washachoka na Magufuli kila wanapochungulia kuna kazi; Lissu ndio kaingia ngoja aione Tanzania mpya atachoka tu ata mwezi aufiki.

Sitegemei kingine kwa Lissu kwenye hoja zaidi ya risasi 16 vipi watanzania atawafanyia nini hana, next atarudi kuwa Lissu yule yule mzee wa kupinga tu.
 
Well, kwa upande wetu haikuwa siri. Vifo vyao havikuwa vya ghafla.

Hakuna ambacho kingewezekana kufichwa.

Dalili zote walikuwa nazo. Achilia mbali uthibitisho wa kisayansi.

Kwa vile hakuna ugonjwa unaoitwa UKIMWI, kilichowaua ni yale magonjwa nyemelezi yanayomnyemelea mtu kutokana na huo ukosefu au upungufu wa kinga.

Hivyo, hao ndugu waliugua kwa muda mrefu.

Haikuwa siri. Wote wawazungukao walijua.

Sababu za vifo zilikuwa ni ‘ugonjwa wa kisasa’.
 
Mbowe anaongea sasa hivi anasema tutumie dakika moja kumuombea Mkapa watu wanakataa waanza minong'ono
 
Tuombe mdahalo wa Lissu na Magufuli tafadhali. Tuone ni nani ataingia mitini!
Lissu ana hadhi ya kufanya mdahalo na Magufuli. Akitaka Mdahalo atapewa Mwigulu tu akampe hiyo entertainment; Magufuli has better thing to do kuliko kusikiliza story ambayo tushaisikia ya kupiga risasi 16 get over it Lissu tushasikia.
 
Binafsi sikuwa na matarajio ya kwenda uwanja wa taifa kwenye sherehe za kumuaga mpendwa wetu mkapa.

Na hii sio kwamba sikuona uthamani wake kama Rais mstaafu La hasha, Mkapa kafanya mengi mazuri na namuombea anakoenda Alazwe mahala pema.

Lakini kwa Lissu Kama atakuwa na Ratiba ya kwenda na Mimi lazima niwepo na hapa tayari Niko kwenye basi natoka mkoani nakuja Dar.

Mwaka 2015 nilimpa kura yangu namba one anayeongoza Sasa, mwaka huu sikutegemea kupiga kura lakini Kama Lissu akigombea nitasafiri kwenda nilikojiandikishia nikapige kura.

Naombeni kujua ratiba ya Lissu kesho kama atakuwepo kwenye uwanja wa Mkapa
 
Tukio la Kifo cha Mkapa limeleta Wageni wengi Wakubwa na Vyombo vingi vya Habari vya Kimataifa vinaangazia Tanzania hivyo Wanaliogopa hilo.

Kwahiyo kumbe si kweli kuwa cdm wanaoleta fujo, bali vyombo vya dola ndio huwa wanawafanyia ukamongo kisa wivu wa kisiasa?
 
Lissu amekaribishwa watu wanashangilia kaambiwa aongee muda anaotaka
 
Hata waliokatwa na wajumbe majuzi wanamaumivu makali mno......... Km kawaida ya maccm kila mmoja ametoa rushwa lkn watu wamekula ZERO yaani Bashite kabisa au wamekula makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…