kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,398
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo story imeanza kuchosha na hiyo excitement ya leo kadri siku zitakavyoenda watu wakishamzoea atabaki Lissu wa kawaida.
Lissu hana hoja nyingine zaidi ya kusimulia mkasa wake campaign zimeingiliwa na msiba tu kwa upande wa pili lakini si mtu tishio kwao if anything Magufuli alikuwa ashinde kirahisi sana ujio wa Lissu ni blessing in disguise unawapa picha walau kuna upinzani maana kama ulikuwa umepoteza mvuto.
Muache Lissu achukue 15 minutes of fame sio muda mrefu excitement ya watu kumuona itaisha.
Hana quality za kuwa raisi wa Tanzania ni siku chache tu ataanza pinga pinga yake kuonyesha jinsi gani alivyo mweupe, maana hana hoja zaidi ra risasi 16 story ambayo imeanza kutuchosha.
Ukimwi umeua ndugu zangu wa karibu kabisa kuanzia mwaka 1992.
Na hata sasa ninao ambao ni waathirika.
Kuna mmoja ni mwathirika tokea 1988! Miaka 32 sasa.
Kuna wanachama wengi tu wa JF ambao walikuwa hawajazaliwa hiyo 88....
Agogolya mmadako bebe nyanokoUsihangaike Mangi.
Heshima ya dadako Manka kwangu inatosha.
Njoo tuzipige ngumi basi.
Come fight me you little bitch...
Hakika! Anapendwa haswa haswa mpaka jiwe linaona wivu!Tuacheni masikhara TUNDU LISSU ANAPENDWA KUPITA MAELEZO
wabongo siwawezi hakiamungu😛😛
Hizo ndio akili zenuYaani Magufuli anamzidi hoja Lissu? Hoja zenyewe Watanzania sitowaangusha na kupiga pushup!!
Wewe jamaa unachekesha sana,huyo Magufuli mpaka sasa anachotegemea ni vyombo vya ulinzi na usalama,na Tume ya Taifa ya Uchaguzi basi.
Magufuli alisukumiwa kwenye Uraisi akajikuta yupo Ikulu anashangaa shangaa tu hajui aanzie wapi ndiyo akaenda kuanzia kupiga deki kule feri na kufuta sherehe za Uhuru.
Well, kwa upande wetu haikuwa siri. Vifo vyao havikuwa vya ghafla.Pole sana Mkuu.
Swali langu ni je wakati wanazikwa, wakati wa kutoa historia fupi ya marehemu, umma uliambiwa kuwa kafa kwa Ukimwi? Au ilitumiwa euphemism ili kuepuka kutaja neno Ukimwi?
Hata mimi nimefiwa na wengi tu kutokana na Ukimwi. Na wote tulijua kuwa marehemu ni muathirika lakini makaburini tulikuwa tunaambiwa amekufa kwa pneumonia, presha au matatizo ya afya ya muda mrefu. Never Ukimwi. Ndio hivyo hivyo na hii Corona.
Amandla...
Wanapewa pilau na pombe za kienyejiWivu tuu unakutesa, kwenye malori huwa mnalipwa sh?
Lissu ana hadhi ya kufanya mdahalo na Magufuli. Akitaka Mdahalo atapewa Mwigulu tu akampe hiyo entertainment; Magufuli has better thing to do kuliko kusikiliza story ambayo tushaisikia ya kupiga risasi 16 get over it Lissu tushasikia.Tuombe mdahalo wa Lissu na Magufuli tafadhali. Tuone ni nani ataingia mitini!
Tukio la Kifo cha Mkapa limeleta Wageni wengi Wakubwa na Vyombo vingi vya Habari vya Kimataifa vinaangazia Tanzania hivyo Wanaliogopa hilo.
Akavune alicho panda Mungu ndie hakimMbowe anaongea sasa hivi anasema tutumie dakika moja kumuombea Mkapa watu wanakataa waanza minong'ono
Hata waliokatwa na wajumbe majuzi wanamaumivu makali mno......... Km kawaida ya maccm kila mmoja ametoa rushwa lkn watu wamekula ZERO yaani Bashite kabisa au wamekula makondaUkiangalia ule umati wa watu unajiuliza ikiwa barua za kuomba kibali zingekubaliwa Daresalam leo ingekuwaje.!
Ni wengi hawajafika kumpokea lissu kutokana na uoga wao.
Kinachosikitisha ni kuwa kumbe ni watanzania wengi sana wanaugulia maumivu moyoni.
Tulizoea kusema wanaoumia ni wale waliokuwa mafisadi enzi zile, lakini umri ulioonekana kwenye video mbalimbali za mapokezi ya lissu ni umri wa vijana ambao nadhani wengi wao hata hawajawahi kuwa kwenye ajira rasmi.- hii ni moja ya ajenda inayotakiwa kupewa kipaumbele na uongozi wa vyama vyote.