Sitarajii kuona comments ya namna hii kutoka kwako

Hizo huwa zinasaidia sana kuleta heshima. Huwa tunazitumia sana kwa watu wanaotoka nje ya reli, vinginevyo nidhamu huwa inashuka.
 
Watu wamekewa mziki wanacheza kumbuka hakuna hata pa kukanyaga tunamsubiria LISSU AJE KUTUAGA

IMEWEKWA NYIMBO SIJUI INAITWA NARUDI NYUMBANI WATU WANASHANGILIA wimbo umezimwa
Watu wanaimba Raisi Rais Rais....
 
unamtisha nani? we mganga njaa tu
Relaaaaax mbona unaingia BONGONI mwangu Kaka,Mimi nilikuwa airport km raia mwingine nikataka kukutana na kusalimiana na mwanaJF mwenzang Sasa mbona umekuja kivibaya?
 
Safari hii sio push up pekee kuomba kura,atabanwa mbavu mpaka aanze kupiga sarakasi na kichura chura jukwaani kuomba kura!
Siyo kudeki tu barabara hata mkilamba hamambulii chochote
 
Anasema anawashukuru sana wale woote waliojitolea toka tarehe 7 September hadi leo kuanzia uwanjani

Anasema kesho tunaenda uwanja wa taifa japo muda anasema utatolewa Kisha tutaongozana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…