Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Sitarajii kuona comments ya namna hii kutoka kwako

Hizo huwa zinasaidia sana kuleta heshima. Huwa tunazitumia sana kwa watu wanaotoka nje ya reli, vinginevyo nidhamu huwa inashuka.
 
Hii picha inaongea sana i real lyk it
IMG_20200727_184144.jpeg
 
Watu wamekewa mziki wanacheza kumbuka hakuna hata pa kukanyaga tunamsubiria LISSU AJE KUTUAGA

IMEWEKWA NYIMBO SIJUI INAITWA NARUDI NYUMBANI WATU WANASHANGILIA wimbo umezimwa
Watu wanaimba Raisi Rais Rais....
 
unamtisha nani? we mganga njaa tu
Relaaaaax mbona unaingia BONGONI mwangu Kaka,Mimi nilikuwa airport km raia mwingine nikataka kukutana na kusalimiana na mwanaJF mwenzang Sasa mbona umekuja kivibaya?
 
Anasema anawashukuru sana wale woote waliojitolea toka tarehe 7 September hadi leo kuanzia uwanjani

Anasema kesho tunaenda uwanja wa taifa japo muda anasema utatolewa Kisha tutaongozana
 
Back
Top Bottom