Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020
Police kuna chumba changu kinaitwa lissu asanteni

jamaa ni mzimu " ... Katika karne hii ya 21 hakuna m-tz ambaye ni mzalendo wa kweli kumshinda lissu " ...

Imagine mtu kapigwa risasi 16 but still amekuwa na ujasiri wa kurejea katika taifa ambalo lina tawaliwa na watesi wake Duuhh !!!

Huyu jamaa ni unbeaten
Wazalendo wapo CCM
 
Nawapongeza viongozi wote wa juu kwa kulinda amani siku ya leo kwenye mapokezi ya Tundu Lissu. Kwa hakika umeonyesha kwamba amani hainunuliwi. Amani hii isiishie kwenye mapokezi ya Tundu Lissu, iendelezwe kila mahali. Nadhani vyombo vya kimataifa watabakia mdomo wazi

MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Kwenye kitabu cha "48 Laws of Power" cha Robert Green, Law #3 inasema hivi:

Conceal your intentions: Keep people off-balance and in the dark by never revealing the purpose behind your actions. If they have no clue what you are up to, they cannot prepare a defense...

Well done CCM.
 
Mangi 2007 ulikuwa mtoto?

Si ajabu ‘mtoto’ wa wanaume 🤣🤣
Wewe ni kibabu wa wanaume! Huna rafiki mtanzania mwenzako, zaidi ya wazungu wanaokutafuna tigo. Yani wewe ni hopeless tu! Hujawahi kuwa kitaa, Shukuru JF na wewe unajitutumua licha ya kuwa na pampas hapo ulipokaa! Maisha yako yote kwenye mtandao. Lowest self esteem! Yani nakudharau sana ni vile hujui tu mkuu! Yani we ni mchumba tu.
 
"Katika utamaduni wa kawaida watu wanaoponea chupuchupu kama mimi huwa wakikanyaga udongo wa nchi yao huwa wanapiga magoti na kubusu ardhi ya nchi yao, nilitamani na mimi nifanye hivyo, lakini goti halikunji, kwahiyo siwezi tena kupiga magoti" - TunduALissu
Nia yake tu ni goti tosha.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mmecheza mziki wa CHADEMA mlijua hawatokuja kama maandamo mengine sad fact wametokea wananchi wengi kuzidi police wote wa Dar

Hii game CDM ndio wamepigwa chenga, kumbe hukujua, yaani no any govnt security force imewazuia so CDM haijapata publicity ya kusema nje ya nchi. Hivyo imepoa kwa lugha nyingine
 
Back
Top Bottom