Kulizungumzia hili kunahitaji fikra kuu.

There can be more than three school of thoughts. But either way, nampongeza sana Mheshimiwa rais Magufuli. Hakika ni maagizo yake tu ndiyo yaliwafanya polisi kukaa mbali na tukio hili.

Tupate muda kidogo mengi yatajulikana
 
Taratibu Mangi!

Unasema unanidharau sana halafu papo hapo unaniita mkuu?

Mkuu ni neno la heshima. Deep down wewe unaniheshimu kwa sababu namkojolesha dadako Manka.

Haya njoo tupigane ngumi 🤜🏿.

Eff u. I’m
 
Yote haya sababu ya kuwa na mawazo tofauti na wewe? Alafu mtu anaezungumzia sana kutafunwa huwa anatafunwa yeye
 
Mkuu niungane na wewe kuwapongeza sana viongozi wa Serikali chini ya mheshimiwa rais kwa kitendo cha kuwaacha Chadema wampokea mwenzao bila kuingiliwa na polisi. Mpaka muda huu kila mtu katulia kwake na ile political mileage iliyokuwa inatafutwa imeyeyuka kama barafu juani. This was the best decision ever. Mungu aendelee kuwaongoza viongozi wetu. Tukutane Oktoba.
 
Kwa hiyo kutowapiga na kuwauwa na kuwajeruhi leo waliompokea Lissu ni hiden agenda? Kwa hiyo Kuna maovu zaidi yanapangwa nyuma ya pazia.
 
Siku zote hizi leo ndio unampa taarifa? Kweli wewe kisogo chako kiko mbele ya uso.
 
Hii game CDM ndio wamepigwa chenga, kumbe hukujua, yaani no any govnt security force imewazuia so CDM haijapata publicity ya kusema nje ya nchi. Hivyo imepoa kwa lugha nyingine
Lile shangwe tu limetosha mbona BBC na Al-Jazeera wanasema he deserves to be a president
 
Serikali ya Mh. Rais wetu JPM inatumia akili sana aiseee..
Hohohohoh ni ile barua bwana, kama ni akili mbona walitoa waraka wa kupinga.Wameona jumuia ya kimataifa inatazama na kuna ugeni wa kumwaga the late president.
Kama ni akili yuko wapi Ben Saanane,CCTV camera pics zenye rangi na mwonekano wa dslr katika issue ya Dewji, watu wasiojulikana....leo wamelazimika kuwa waungwana.
Kesho nitaungana na Lissu kwenda kutoa heshima taifa.
 
Kuna ile law unatuma watu watende Jambo kwa mgongo wako huku wao wanapata lawama wewe hauguswi mfano case za makonda Hadi mheshimiwa akawa hamtumbui refer issue ya madawa. Honestly hichi kitabu nilikisoma chote Hadi nukta
 
Una matatizo mkubwa sana. Nakuona machozi yanavyokutoka

Umemuona eh?? Anapingana na mamlaka ya CCM iliyoondoa mazuio yote ya kukabiliana na corona na sasa analaumiwa mwananchi wa kawaida CHADEMA. Hawezi kuwaza nje ya CHADEMA.

Chadema is living rent-free in his head!!
 
Aliuepoteza hii mechi ni chadema...well calculated move..
Alie toa wazo la kutowazua CDM kumpokea Lisu kwa upande wangu ndie mahindi. Nilitegemea polisi kuja na nguvu kubwa kwenye tukio hili na kusababisha mauaji makubwa, na jamii ya kimataifa kutuona wa mwisho katika mataifa yasio na mwelekeo. Hongera Rais, hongera IGP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…