Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kama tBs kama itakuwepo
Pendeza sana Miamba ya Chadema
Barabara zote zimefungwa kwa mudaKamanda Mambo sa2 anasemaje
Hebu angalia hiyo kasheshe , ingekuwa vipi police wasingepiga bitiCHADEMA walitaraji Dar itasimama. Sasa rasmi CHADEMA imekataliwa
Download app ya flight radar kule Playstore boss.Mkuu hii kitu unaicheki vp nipe maunjanja.
Kwani wote wa mitandaoni wako dar?Na siku ya kupiga kula huwa inakuwa hivyo, wapiga kelele wengi siku ya siku wafyata mikia yao.
CHADEMA mmeogopa bure kwenda kumpokea Tundu Lissu. Bashite ndiye alikua chanzo cha uvunjifu wa amani.
Kumbe mnachungulia madirishani? 😁CHADEMA walitaraji Dar itasimama. Sasa rasmi CHADEMA imekataliwa
Mbowe kaingiwa na wivu baada ya kuona Tundu Lisu amekubalika zaidi ya nyalandu ambaye sasa anachepuka na mdee na pia mbowe anataka kuvuta pesa toka CCM awawekee garasa nyalandu ili CCM washinde kiwepesi lakini yeye katengeneza pesa, hii ndiyo hali halisi.
Mmh! Kamwe haowezi kutokeaRasmi TBC wapo live sasa